Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Naam amemuendea mshirikina kumueleza shida yake na akapatiwa suluhisho na tizama alivyoamini, sisi waislamu tuna mipaka yetu haturuhusiwi kwenda wa wapiga ramli wala waganga wa kienyeji kwasababu wao wanatuzidishia tu maangamivu, unaweza ukapona tatizo la kuzimia halafu ukarithi ususuwavu wa moyo na kuamini mizimu na wachawi, bali huenda binti akasema kwasababu nimepata msaada huko basi na mimi namfuata, basi zingatia changamoto ya mwanzo ya kiwiliwili tu kisha zingatia balaa kubwa la moyo baada ya kupona.
unaweza kuelezeazaidi mkuu??
 
Akili yako imeishia hapo...umesahau kuwa Masheihk wenu wanaloga na kutibu kwa kutumia kitabu chenu kisicho na shaka.
Huwa najitahidi sana kuandika Kiswahili chepesi mno, sababu najua humu kuna vichwa mchunga kama wewe. Ukisoma jitahidi uelewe kilichoandikwa na kama hujaelewa, basi uliza ueleweshwe.
 
paka hapa Sina budi kukuacha mrembo.mana sinamuda wa kueleweshana na binti ambae yupo piriod.
piriodi ikikata waulize mabinti wenzako visimo vinapatikana wapi ndio uje tuendelee.

sawa binti?

Mimi ni mwanaume.
Ningekutukana ila tatizo kuna ban, na pia KUKUJIBU KWA DHARAU NA MATUSI SITAKI.

Hongera kama Quran imekufundisha kuandika yote haya.

Allah Akbar.

#YNWA
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650

mawardat Watakuja kupingana na hili lililotokea lakini niseme tuu Mungu anampenda sana

Hayo madudu aliyotapika peleka kwenye madhabahu yakarudishwe yalikotokea

Na mumsaidie kujua kuomba na kuuishi utakatifu yasijekurudia

Chafu tatu dunia ngumu sana hii kama hujajua roho wa kumtumikia kusimama nae
Mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu siku zote..... tumepitia mengi nae ametushindia
 
Kwahiyo amsingizie nduguye ili apate faida gani?
Nikuulize wewe kwamba anapata faida gani kuleta huu uzushi na upotoshaji humu ndani? Je, amelipwa na huyo mtumishi wa mchongo anayemtangazia biashara? Anataka awapoteze wangapi ambao badala ya kwenda kwa Madaktari husika wataenda huko huku wakizidi kupotea zaidi?
 
wazazi tuache mambo ya dhambi, matendo maovu ndio haya yanakuja kutesa watoto wetu...

Huyo Mungu wako wa ajabu.

Mnalipiziwa kwa Madhambi ya wazazi wenu.

Inamaana hapo unasubiri kulipa dhambi za wazazi wako?

#YNWA
 
Mtu anaweza kuponywa hata na mchawi,waganga ,mizimu nk je inafaa kufuata mizimu kisa tu imemponya ? Satoh Hirosh naomba maoni yako.
Asante mkuu,

Siku moja Yesu alifanya muujiza Kama huu Kama kawaida yake ya kufanya uponyaji. Wale wasiomwamini walianza kusema /kunong'ona huyu jamaa anafanya haya kwa ruhusa ya BELZEBURI (Mkuu wa mapepo)

Jibu la YESU lilikuwa "pepo (akimaanisha yeye) akimtoa pepo mwenzake je ufalme wake utasimamaje? Mimi nikitoa pepo kwa ruhusa ya mkuu wa mapepo(belzeburi) hamuoni kwamba ufalme wa belzeburi utakuwa umefitinika? Nimemaliza kunukuu.

Ufalme wowote hauwezi kusimama endapo ufame huo utajing'ata Kama gemu la nyoka.

Nimeelewa point yako Mr adriz ,lakini ninachotaka kukuambia Ni hivi; Shetani hawezi kujitibu Wala kujiangamiza. Endapo mganga atatoa uchawi maana yake anakupa masharti yale Yale ya kiganga( kichawi) katika kufuata process za kujitibu. Hapo unakuwa haujatibiwa ila mganga ameweka nguvu iliyo kubwa zaidi kuishinda ile nguvu iliyokutesa. Kisha utasema nimepona au mganga kaniponya. Kuna magonjwa mganga/mchawi anakuponya kwa kukuwekea jini litakalokulinda lenye nguvu zaidi ya Yule alitekutesa. Na Kuna muda waganga na wachawi wanaombana ruhusa katika kushughulika na swala lako. Either mganga anatoa taarifa kwamba myu wenu namponya au mchawi anatoa rushwa mwamba tuachie mtu wetu tutatupa hiki(wanaingia maagano/makubaliano)
Anyways,mkuu ninachotaa kusema ni hiki,uponyaji ulio nje ya vibration za kiungu huo siyo uponyaji,maana Shetani hawezi kujifitini ufalme wake. I understand kwamba watu wanapona nje ya dini (ukristo/uislamu) lakini kama Imani haijahusika basi ulozi na maagano ya kishirikina yanakuwa yamehusika.

•Kama utakutana na typing error nisamehe,sijapitia Mara ya pili kuediti makosa.

Kisai
 
Mimi sijui kwa nini tokea mdogo sana ni muumini wa kujiombea mwenyewe nina mentality kwamba kumtanguliza mtu aniombee kwa Mwenyezi Mungu kama mimi nimejishusha hadhi mbele ya Mwenyezi Mungu kuwa sitasikilizwa .

Nimewahi kuambiwa niende kwa Shekhe ila mimi huwa nikipata matatizo natenga muda nakaa faragha kwa utulivu naamililia Mwenyezi Mungu shida zangu na maombi yangu mengi yamefanikiwa kwa namna hiyo tena wakati mwingine kimaajabu kabisa hadi naogopa na ipo wakati naomba nafeli . Huo ndio mwendo mwangu mimi sikuzote.
 
Mpelekeni Bariadi huko kuna wataalamu watamuangalia kama kapona au bado🤷🏼‍♀️
 
Mimi nimezaliwa kwenye dini "x" baada ya kujitambua , nikaamua niweke udini pembeni nianze kufanya uchunguzi ni imani yangu niielezekee wapi nikagundua YESU NI NJIA YA UKWELI NA UZIMA

Kama ukibisha na kuleta udini , Hata sitashindana na WEWE , uponyaji ni kitu kidogo sana kwangu . ila WOKOVU (KUEPUKA JEHANAMU) katika YESU ndio kitu muhimu.
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650
Poleni kwa kuuguliwa ila Nimesoma huu uzi nikasikitika na jambo hili.

Nyie ni waislamu kutokana na uzi wako mmepatwa na mtihani mdogo tu mnakimbilia kufanya shirki , namaanisha mpaka unaamua kuchukua mafuta ya mwamposa (though haujamtaja kwenye uzi sijajua unahofia nini) na kutumia ukiamini kwamba atapona inamaanisha umeamini kabisa ALLAH (the exalted one) hana uwezo wa kuwasaidia kabisa mpaka mnamshirikisha?

Mkuu si kwamba nina ku cretisize kwa ubaya ila imenisikitisha kuona waislamu nowdays tunauza imani yetu kwa vitu vidogo mno 😔 ugueni pole.
 
Mimi nimezaliwa kwenye dini "x" baada ya kujitambua , nikaamua niweke udini pembeni nianze kufanya uchunguzi ni imani yangu niielezekee wapi nikagundua YESU NI NJIA YA UKWELI NA UZIMA

Kama ukibisha na kuleta udini , Hata sitashindana na WEWE , uponyaji ni kitu kidogo sana kwangu . ila WOKOVU (KUEPUKA JEHANAMU) katika YESU ndio kitu muhimu.
Same story different narration , taja hiyo dini ili na sisi tujifunze
 
Hivyo vitu mbona kama ni issue kupita kwenye koo kama hicho chakwanza sikikubwa kabisa kuliko tonge la ugali halafu kinaoneka sio laini kipo rough and stiff, kama unavitapika hivyo vitu lazima vikuachie vidonda kwenye koo...mm kumeza kidonge (action) kimoja tu huwa siwezi lazima kininige unless nikikate mara 2 xaxa naona hayo madude mwili umenisisimka noma xana wananzengo wamefanya sio poa
 
Back
Top Bottom