Billionaire101
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,470
- 4,971
uliposema nyumbani zanzibar nikaacha kusoma
Walikuwa dini gani? Kabla sijaanza kukupa nondo zangu nadhani hujui how deep I am kwenye hizi sektaHili tutalijadili baadae, tumalize hili dogo kwanza.
Delere coment,[emoji724]uliposema nyumbani zanzibar nikaacha kusoma
Kwakuwa wewe mungu mtu umesema?Delere coment,[emoji724]
Iseee hapo ndio unaamini uchawi upo ila kiboko yk ni mwamba Yesu tu.Wassalaam,
Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.
Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.
Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.
Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena
Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.
Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.
Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...
J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.
Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.
Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?
View attachment 2538649View attachment 2538650
Vivyo ulivyoelewa.Kwakuwa wewe mungu mtu umesema?
Imeisha hiyo sasa atasoma na atamaliza bila shida.Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?
Nimecheka sana. Sasa bibie kama kama uko nondo hili dogo mbona linakushinda, unakomaa nalo wakati limekuja tu.Walikuwa dini gani? Kabla sijaanza kukupa nondo zangu nadhani hujui how deep I am kwenye hizi sekta
uliposema nyumbani zanzibar nikaacha kusoma
Huna unachoelewa,hebu pita hivi👉👉👉👉Nimecheka sana. Sasa bibie kama kama uko nondo hili dogo mbona linakushinda, unakomaa nalo wakati limekuja tu.
Nipe nondo kwanza.
Poa.Huna unachoelewa,hebu pita hivi👉👉👉👉
Anaesema kuwa mtamuona akiwa amekufa huyo nyoka; ni mtoto au nani?Nyoka
Hii umeitoa kwa Wakristo wa wapi? Umeongea uongo.IN A SERIOU MOOD SASA KWA NINAVYOELEWA KWENYE KUKUA KWANGU.
Hiyo inaitwa JICHO BAYA.
kama umepata mtu anakupa hayo mafuta na unaombea well and good endelea
Ila zipo sala za kuomba kwa waislamu zpo kwenye quran.
Kwa wakristo huwa wanasema mtoto kabl ya arobaini asishikwe au asikutane na watu au ndugu asiowafahamu. Hitimisho huwa kubatizwa baada ya siku arobaini kumkinga na jicho baya.
Jicho baya huletwa au hujulikana kwasababu moja wapo kama hyo kutapika funguo.
Mtoto kupata homa kila akitibiwa hajulikani anaumwa nini.
Kwa sasa muendelee kumuombea, sala mbali mbali. Kwa msaada wa wazee wanaoifahamu dini, masheikh, mapadri, wachungaji, manabii. Itatoka. Poleni
Hapa nimepata kuimba kale kapambio mwamba Ni Yesu Hallelujah mwamba Ni Yesu 🎼🎵🎻🎤Iseee hapo ndio unaamini uchawi upo ila kiboko yk ni mwamba Yesu tu.
Mlijichelewesha hapo ndio mwisho.
Waganga nyoso unakuta wanajua tatizo sema wanavunga sababu ya kula rushwa toka kwa huyo mlozi
Ushirikina is real na hili jambo linawapeleka watu wengi kwenye shirki inayowatoa katika uislamu kabisa.mimi kuna siku alikua live hapo kawe nikawa naangalia tu kipi kinaendela akawa na maombi kuna rafiki yangu alinyanyua tu glass ya maji kule kweye tv waliambiwa wayanyanyue yale maji akanywa bas alilegea mnoo yan kama anaskia kichef chef tukabadili channel lakini hatukua na hio iman kwamba kipo kitu halaf tulikua tunafanya just for fun
Huyo mwamba yupo hai?Ni kuomba mungu kwa kweli
Mi kuna jamaa yangu alitapika kinyonga maisha haya