Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

mashehe maji wanayaombea kwa jina la Nani?mwamposa nae?
na hicho ndio kinanifanya nisiamini mana anasisitiza sana nani amekuponya mtu husema Yesuu mimi niko like how?? na sie kwa imani yetu Mungu ni Allah kuna zile shuhuda zakutolewa uzazi nanmtu akabeba ujauzito yan hapa ndio akili yangu imegoma kuamini, yan unafanyiwa op and then kizazi kinatolewa halaf huyu mtu anabeba mimba kwa elimu yangu ya kuokoteza biology inasema lazima mtoto akae kwenye mfuko wakizazi hata mimba ikiwa nje ya kizaz lazima itolewe sababu mtoto hawezi kusurvive,
 
mbona mtoto ametapika mbele yao na ndio hivo vitu wamepiga picha hapo, mnapopinga mambo au kuyakubali hebu fanyeni kwa hoja ili mtu ajue anasimam na mguu upi

Ulikuwepo? Mimi numefuatilia sana shuhuda za Mwamposa, 90% kusadikika, oaka Iringa kakauka, picha ya kutapika ndoo, wakati tumbo lenyewe dogo kuliko ndoo, and all that rubbish associated with it
 
na hicho ndio kinanifanya nisiamini mana anasisitiza sana nani amekuponya mtu husema Yesuu mimi niko like how?? na sie kwa imani yetu Mungu ni Allah kuna zile shuhuda zakutolewa uzazi nanmtu akabeba ujauzito yan hapa ndio akili yangu imegoma kuamini, yan unafanyiwa op and then kizazi kinatolewa halaf huyu mtu anabeba mimba kwa elimu yangu ya kuokoteza biology inasema lazima mtoto akae kwenye mfuko wakizazi hata mimba ikiwa nje ya kizaz lazima itolewe sababu mtoto hawezi kusurvive,
hapo ndio wenye ufahamu malizawa hujiuliza maswali kibao kabla ya kuamini.
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650
Ndugu yangu katika Imani kma uyo mdogo wako bdo hajapona njoo nikuelekeze kwa dokta mzuri tu in shaa allah atapona na wala hana gharama kubwa
 
Zaidi ya asilimia.

Mimi kuna kaida huwa nazifata, Imamu Shafii (Allah amrehemu) anasema hata akimuona mtu anatembea juu ya Maji, kama hafati Qur'aan na Sunnah, huyo anatumia nguvu za Uchawi na ushirikina (Huu ndiyo ukweli).
Akili yako imeishia hapo...umesahau kuwa Masheihk wenu wanaloga na kutibu kwa kutumia kitabu chenu kisicho na shaka.
 
Halaf kuna mpumbavu mmoja anakuja kusema hakuna Mungu wala hakuna uchawi...

Polen sana.

Mimi ushauri wangu acha woga na endelea kwenda huko ambako tiba imeo ekana kuleta matokeo ya live live sio yale ya kuaminishwa mwamba kapona huku hamna uthibitisho.

Pia kupata majib sahihi zaid ni baada ya yeye kurejea masomoni tuona kama hiyo hali itajirudia.ila msiache kwenda au kumpeleka ibada

Ninacho amini ni hiki, washirikina wamejaa kila kona mpaka mashuleni huko ambako watoto wanasoma..Ni muhim sana kama mzazi kuchukua jukumu kwa u serious kuwalinda watot wanapokua mbali kwa maombi na sala na ibada tukimsihi Mungu awaepushe na kila ubaya ambao unawavizia.

Walimwengu sio watu wazuri.
Ukamtese namna hii mtoto wa mwezio kwa manufaa gani???
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650

Heee Ustadhati umeamua kwenda kwa mkristo wa Mafuta ya upako baada ya visomo vya Mashekhe kufeli.

Waislamu hii IMEKAAJE?

#YNWA
 
pale wanaenda wa dini tofauti mostly kumwambia mwislam aliekuponya ni Yesu unamchanganya na mimi hili ndio likawa linaniweka kwenye doubts
hiki ndio Mana ya kipimo Cha imani.jibu nikwamba muislamu ukikanyaga pale ukafata muongozo wa mwamposa Basi jua tayari wewe ushahama sio muislamu tena.

ushakiuka vigezo vya kuwa muislamu.
 
Back
Top Bottom