Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Ukitaka kupata faida zaidi tafuta vitabu hivi ujue Shetani anavyo fanya kazi na kuwapoteza watu :

1. Talbisi Ibilisi (Ushawishi/Upotoshaji/ wa Shetani) Cha Ibnul Jawziy.

2. Awliyai Rahman wa Awliyai Sheytwan (Marafiki wa Allah na Marafiki wa Shetani) Cha Ibn Taymiyyah.
Mkuu hii أولياء الرحمان و أولياء الشيطان nitaipata wapi chapa ya saudi arabia?.
 
Kwakweli,dogo anapenda sana kusoma na akili anazo,sasa shule ya msingi hata mtihani amefanya kibishi sana,,,,shida alikuwa akienda shule tu mara haoni,mara anakuwa bubu sometimes alikuwa anasema akiandika kuna mtu anamjia mbele anamtishia asiandike,au anahisi usingizi mzito akisema ajilaze kwenye dawati yaani wanamuokota chooni kazimia.
Vita ni kubwa nchi yetu ya giza hii
 
Watu hawaamini kwamba ukiamini unaponywa. Wengi wanaeonda kwa imani wanapona pale.

Kuna ndugu yangu amepona pale vizuri Sana,Ila ukileta uzi humu unaambiwa wewe ni tapeli,wengine huenda mbali zaidi wanashihaki Hadi dini yako utaitwa wewe ni kafiri na majina kibao ya kudhalilisha ukristo wako. Ila Mungu Ni mwema Sana kila wakati.
Alikuwa anasumbuliwa na nini huyo ndugu yako?
 
kabisa, kuna bibi yangu aliwahi kuniusia, alinambia mjukuu wangu ukienda miji ya watu ukiona watu wanchechemea na wewe chechemea usiende kwa miguu kamili watakuumiza sababu upo tofauti nao sikuwah kumwelewa had nilipokuja kua na kwangu na watu wa mji huu tunayoishi ndio nimeelewa
Bibi alikupa fumbo zuri la kuishi nalo
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650
Ama wewe unadanganya, au huyu aliyekupa hayo madawa amekuingiza kingi!
 
Kaka, ikikupendeza nakuomba uachane na majibu ya namna hii. Udhihirisho wa Ukuu wa Yesu Kristo hauji kwa majibu ya namna hii.

Ili wamfahamu na kumkubali basi tuonyeshe kuwa waungwana. Majibu ya namna hii huenda yakatafsiri kuwa wanaomwamini ni wendawazimu.

Ahsante na Ubarikiwe.
Mkuu hawa Wavaa Kobaaz wanahitaji maombi ya nguvu ili waifahamu kweli. Nayo kweli iwaweke huru, sisi tunawafundisha kwa amri
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650

Kuna mzazi mmoja au wote wa huyo mtoto sio mwaminifu au hakuwa mwaminifu.
Anzeni naye kumuweka Sawa.

I) Aidha ni mshirikina au mlozi
ii) au kafanya dhulma
Watoto mara nyingi(sio zote) hukutwa na mabalaa hayo Kutokana na Wazazi wao.

Ulinzi WA mtoto unategemea zaidi wazazi(kinga ya wazazi) Watoto hawanaga kinga.
Kinga Yao inategemea Imani za wazazi wao zipo wwa
 
Sawa kabisa.
 
Back
Top Bottom