Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,715
- 54,594
Tulia wanakuja kubisha hapa,uzuri mleta Uzi nadhani Ni Muslim.Watu hawaamini kwamba ukiamini unaponywa. Wengi wanaeonda kwa imani wanapona pale.
Kuna ndugu yangu amepona pale vizuri Sana,Ila ukileta uzi humu unaambiwa wewe ni tapeli,wengine huenda mbali zaidi wanashihaki Hadi dini yako utaitwa wewe ni kafiri na majina kibao ya kudhalilisha ukristo wako. Ila Mungu Ni mwema Sana kila wakati.