Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Unakuwa na mtoto haelewi shule,anaumwa anasumbua kumbe Kuna mwamba yupo na remote yake anacontrol game
Kwakweli,dogo anapenda sana kusoma na akili anazo,sasa shule ya msingi hata mtihani amefanya kibishi sana,,,,shida alikuwa akienda shule tu mara haoni,mara anakuwa bubu sometimes alikuwa anasema akiandika kuna mtu anamjia mbele anamtishia asiandike,au anahisi usingizi mzito akisema ajilaze kwenye dawati yaani wanamuokota chooni kazimia.
 
Ahsante,maji tulinnua hayo yaliyoombewa siku saba ndiyo anayotumia kunywa, ya kumwaga na home tu,,,sasa anasema kila akimwaga maji anahisi ndani kuna nyoka mkubwa sana mwenye rangi nyeupe lkn tutamuona akiwa kafa,
Ni ajabu ukistaajabu hayo mambo lkn ukifahamu kuwa binadamu tumeumbwa na chuki iliyojaa vinyongo lazima utamkumbuka mungu na kumshirikisha katika kila hatua na matendo yako maishani.

Huyo ni mtu mbaya sana anaewatendea hayo inabidi muongeze maombi sana na kuzidisha imani kuwa mungu yupo pamoja na nyinyi mkabizi hizo shida na mateso kwake na yatakwisha..
 
mimi kuna siku alikua live hapo kawe nikawa naangalia tu kipi kinaendela akawa na maombi kuna rafiki yangu alinyanyua tu glass ya maji kule kweye tv waliambiwa wayanyanyue yale maji akanywa bas alilegea mnoo yan kama anaskia kichef chef tukabadili channel lakini hatukua na hio iman kwamba kipo kitu halaf tulikua tunafanya just for fun
Aendelee kufuatilia
 
Kwakweli,dogo anapenda sana kusoma na akili anazo,sasa shule ya msingi hata mtihani amefanya kibishi sana,,,,shida alikuwa akienda shule tu mara haoni,mara anakuwa bubu sometimes alikuwa anasema akiandika kuna mtu anamjia mbele anamtishia asiandike,au anahisi usingizi mzito akisema ajilaze kwenye dawati yaani wanamuokota chooni kazimia.
But why Jamani!?Hawa walozi Ni watu waovu Sana....wamemtesa Sana mtoto aiseee
 
Halafu yanatokea mapumbavu yaliyo laaniwa yanamdis MWAMPOSA...

ONDOA SHAKA NDUG YANGU MTOTO AMEPONA KABISA, HONGERA MUNGU AMEPONYA MTOTO KUPITIA MAJI NA MAFUTA YA MWAMPOSA.

Narudia tena mtoto amepona sasa yupo huru hataumwa tena na atafaulu kwa jina la YESU. Mungu ni mwema
Ukipata nafas nenda kwa Mwamposa onana na wahudumu wake wape ushuhuda wa yaliyotokea kisha waambie umekuja kumshukuru Mungu kwa sadaka hata kama ni buku wewe toa ondoka zako.

Kama upo mbali andika msg tuma ktk zile namba za MWAMPOSA ukieleza miujiza iliyotokea ukiweza tuma na sadaka hata kama ni buku, hiyo sadaka ineneee maneno ya kumshukuru Mungu kwa miujiza...

MUNGU YUPO ANATENDA MIUJIZA KUPITIA WATU WANAO MUAMINI...
 
Back
Top Bottom