Mwanamke kuwa kichwa wazi. Biblia inasemaje kuhusu Mwanamke kitembea kichwa wazi, na mfano wa hayo, kuvaa nguo za kubana.We Ni uchi you unaoungelea maana sikuelewi!
Nataka uniambie kwa mujibu wa Biblia.
Mwanamke kuwa kichwa wazi. Biblia inasemaje kuhusu Mwanamke kitembea kichwa wazi, na mfano wa hayo, kuvaa nguo za kubana.We Ni uchi you unaoungelea maana sikuelewi!
Aisee we Nuzulati umenifanya nicheke Hadi kutapika maji niliyokuwa nakunywa. Maana so kwa amri hiyooKojoa ukalale punguani wahedi
Madame S nishalijua and I promise sitorudia. Please lift my ban mpendwanaomba nije nikutumie email
Wewe mvaa kobaaz okoka mjue Yesu utaijua kweliKojoa ukalale punguani wahedi
Poa.naomba nije nikutumie email
Inawezekana wewe biblia unaijua kuliko Mimi, tafadhali share na Mimi maarifa kwa vifungu kukusu hizo nguo za kubanaMwanamke kuwa kichwa wazi. Biblia inasemaje kuhusu Mwanamke kitembea kichwa wazi, na mfano wa hayo, kuvaa nguo za kubana.
Nataka uniambie kwa mujibu wa Biblia.
Yeah yeah yeah, today I go partying Madame S na ile ban nyingine uitoe🤗🤗okay, okay tusonge mbele
Kaka, ikikupendeza nakuomba uachane na majibu ya namna hii. Udhihirisho wa Ukuu wa Yesu Kristo hauji kwa majibu ya namna hii.Ninyi wavaa kobaaz huwa munakaza shingo sana au kisa mumepewa ahadi ya mabikra 72 akhera..uo ni uongoooo nasemaje ni uongoooo
My number🤗🤗, hiooban gan tena me naijua moja
s unayo yanguuuu kesho kama vipi nalala nasinziaMy number🤗🤗, hioo
Ninayo, vipi hukuiblock??, Maana nilikua naogopa kupigaa usije ntukana😥🤕s unayo yanguuuu kesho kama vipi nalala nasinzia
mimi nikutukane?? sjui na haitatokea! hata kama tutakwazana sitakuja kukutukana nimejifunza kusema na kubakisha. sjaiblockNinayo, vipi hukuiblock??, Maana nilikua naogopa kupigaa usije ntukana😥🤕
Mimi natumia kanuni ya Ujumla, ya kuwa mitume wote na manabii wote wa Mungu walikuwa na dini Moja, ila walitofautiana Sheria, Sheria ya Musa haikuwa Sheria ya Yesu wala Sheria ya Muhammad, ila walikuwa na Imani Moja. Ndiyo maana nimekuuliza swali.Inawezekana wewe biblia unaijua kuliko Mimi, tafadhali share na Mimi maarifa kwa vifungu kukusu hizo nguo za kubana
Ok mapema kama kawaida yetuuumimi nikutukane?? sjui na haitatokea! hata kama tutakwazana sitakuja kukutukana nimejifunza kusema na kubakisha. sjaiblock
Ulale unono Madame S favorites unayo yanguuuu kesho kama vipi nalala nasinzia
Hebu kwanza walikuwa na dini moja ipi hiyo?Mimi natumia kanuni ya Ujumla, ya kuwa mitume wote na manabii wote wa Mungu walikuwa na dini Moja, ila walitofautiana Sheria, Sheria ya Muda haikuwa Sheria ya Yesu wala Sheria ya Muhammad, ila walikuwa na Imani Moja. Ndiyo maana nimekuuliza swali.
Bibie ngoja nikusaidie kitu kimoja kwa Mola hakuna ujanja ujanja, na muongozo wa Mola imekamilika. Ukiona mtu anaacha mafundisho sahihi ya Dini, akafanua jambo lake hata likafanikiwa ujue hapo amepata msaada wa Shetani na amepewa mtihani na Mola.
Wewe nimekupa hiyo kazi, ifatilie. Kisha uje kunipa mafundisho ya Yesu juu ya hizo nukta nilizo kupa. Ukiona yanaenda kinyume na wanayo fanya hao manabii feki, uje tujadili hii kadhia.
Yaani tukitoka hapo tutakuja hatua ya pili, ya kuyahakiki hayo maandiko Sasa.
Hili tutalijadili baadae, tumalize hili dogo kwanza.Hebu kwanza walikuwa na dini moja ipi hiyo?