Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Fanya hivi agiza mtu siku akienda kwa Mwamposa akuletee hayo maji au mafuta umpelekee rafiki yako... Au apelekewe moja kwa moja nyumban kwake kama wewe huwez... Unaweza muagiza hata bodaboda muaminifu akaenda pale kanisani akachukua yale maji au mafuta akampelekea... Mwambie ile siku alivyo jisikia hali ile ndio ilikua uponyaji wake
My God, nipo mkoani sasa itakuaje
 
Mkuu wote tukiulizwa unampenda nani? Tutajibu Mungu ila kiuhalisia tuna Muogopa tu kwa vitisho hilo Mungu analijua fika na shetani kwa maarifa yake anajua kipigilia msumariii

Upendo wa kweli haufanyi kitu kukosa upande wapili ndio maana Mungu pia anaangamiza
Nyoosha jibu acha janjajanja.
Unamwamini yupi?
 
Mkuu wote tukiulizwa unampenda nani? Tutajibu Mungu ila kiuhalisia tuna Muogopa tu kwa vitisho hilo Mungu analijua fika na shetani kwa maarifa yake anajua kipigilia msumariii

Upendo wa kweli haufanyi kitu kukosa upande wapili ndio maana Mungu pia anaangamiza
confused bado
 
Kinyume na hizo zinazo fanywa. Japo Biblia siamini, hakuna mafundisho ndani ya Biblia yanaelekeza namna ya uponyaji mnao fanyiwa na hao wanao itwa manabii.

Kingine mnatakiwa mjua Shetani anafanya vipi kazi, uwezo huo amepewa.

Huwezi kiwatibu watu katika mchanganyiko na wako uchi, ukasema hiyo ni tiba sahihi, sababu inaenda kinyume na mafundisho sahihi ya Mola.
endelea
 
Zaidi ya asilimia.

Mimi kuna kaida huwa nazifata, Imamu Shafii (Allah amrehemu) anasema hata akimuona mtu anatembea juu ya Maji, kama hafati Qur'aan na Sunnah, huyo anatumia nguvu za Uchawi na ushirikina (Huu ndiyo ukweli).
sasa kwa comment yako hi unatakabkusema mwamposa anatumia nguvu za giza je ukipona unakua kundi gani, mbona watu kutwa wanatoa ushuhuda
 
My God, nipo mkoani sasa itakuaje
Tafuta mtu aliyopo dar, mwambie una shida na mafuta au maji ya Mwamposa... Huez kukosa mtu muaminifu akaenda kukuchukulia... Akipata akutumie wewe au huyo rafik yako... Usihofu utapata tu mtu, Mungu ni mwema... Fanya bila haraka haraka na presha kila jambo na wakat wake...
 
Back
Top Bottom