Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Mkuu kweli amefunguka ila nyuma ya pazia nikwamba moyo wake umesgageuzwa na kuwa mtumwa atakiri yesu atakiri mungu ila bila maarifa 😔🤐

Kapotea anae toa bure ni Mungu tena bila sharti ila hapo 100% ni nguvu nyeusi

HAUTA NIELEWA KAMWE ILA YATAFUTE MAARIFA UTAJUA UKWELI
Cha muhimu mtoto apone hata kama ni njia nyeusi unavyotuaminisha kuna shida yoyote? Asee Kuna watu wanateseka, kama haupo kweny kundi hilo waache wenye mahitaji wapate msaada kwa njia yoyote
 
Rafiki Yesu hashindwagi kitu amini usiamini
Watu hawaamini kwamba ukiamini unaponywa. Wengi wanaeonda kwa imani wanapona pale.

Kuna ndugu yangu amepona pale vizuri Sana,Ila ukileta uzi humu unaambiwa wewe ni tapeli,wengine huenda mbali zaidi wanashihaki Hadi dini yako utaitwa wewe ni kafiri na majina kibao ya kudhalilisha ukristo wako. Ila Mungu Ni mwema Sana kila wakati.
 
Binadamu wabaya jamani haya mambo nilikua nikiyashuhudia sana kipindi nasoma primary na o level, kuna watu walikuwa wakikanyaga tu shule ni kosa kubwa ni mateso mpaka huruma. Mungu yupo na anaponya, waja watachelewesha tu mambo ila hawawezi kuzuia baraka zake daima.
Ni kweli kama huyu,mwaka 2021 tareh 14 mwezi wa pili,alipotea na mida ya jioni alikuwepo nyumbani na mida hiyo ndiyo muokotaji alisema kamuokota akiwa kazimia ni mbali sana na nyumbani,
 
Poleni sana.

mawardat nakusihi sana, kwa kuwa amepata uponyaji kupitia njia hiyo basi aende katika njia hiyo kiimani.

Malaika wachafu watolewapo na kukimbizwa basi huenda na kujipanga. Na safari nyingine hurudi katika mafungu Saba. Kama watakuta uwazi, basi wataharibu mara Saba zaidi ya awali.

Mwenyenzi Mungu awape nguvu katika kukubaliana na Hilo.
 
Back
Top Bottom