Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Ndiyo nataka uniambie Yesu hakuwaambia uchi ukoje sababu hili ni jambo muhimu sana.

Wewe tuachane na dini yangu, tuongelee kuhusu Biblia na Yesu anasemaje kuhusu haya yanayofanywa na manabii na kuhusu huo uchi.
We Ni uchi you unaoungelea maana sikuelewi!
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650
Inabidi awe anasali. Mkazanie sana asali.
Watu siyo wazuri
 
Madame S hii nguvu ya mwamposa inanitia shaka kidogo, maana yasije kuwa maajabu kama ya kina tb Joshua 🤔🤔
Zile pigo za kule Nigeria sio kabisa, ila hope tukipona. Hatuto sumbuliwa na majanga mengine

Ila mzima wewe rafiki, maana Ni muda Sasa toka tuongee🤔🤔
mimi pia huwaza hivohivo imani ndio funguo ndugu yangu


niko poa alhamdulillah and you?? unaukunbuka uz wa pasco? kila mtu ana nguvu ndani yake hebu kausome
 
Ukitaka kupata faida zaidi tafuta vitabu hivi ujue Shetani anavyo fanya kazi na kuwapoteza watu :

1. Talbisi Ibilisi (Ushawishi/Upotoshaji/ wa Shetani) Cha Ibnul Jawziy.

2. Awliyai Rahman wa Awliyai Sheytwan (Marafiki wa Allah na Marafiki wa Shetani) Cha Ibn Taymiyyah.
mkuu hauna ukanitumia??? naomba sana kama unavyo unitumie japo ntavitafuta
 
Operation komboa familia,,,,, pole sana kwa binti yetu maana nguvu za giza zimemtesa vya kutosha,,,, Lakin Jina la Yesu lihimidiwe sasa na hata milele,,, ningefurahi sana kama huu muujiza ambao Bwana amekutendea ningeusikia pale arise and shine maana nmekuwa mdau wa kufatilia sana hiki kipindi mnao saa 3 usiku... Bwana akaendelee kujidhihirisha kwenu na wale wenye imani haba..
 
Back
Top Bottom