Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,701
- 9,779
Kuna Guest House moja mbali na mtaani kwangu huwa napenda kwenda kufanyia tabia mbaya. Hii Guest ni imetulia sana, hata entrace zake ni rafiki kwa ajili ya wanachama wa ndoa zao
Imeibuka tabia mbaya ya kucheza nyimbo za dini pamoja na mahubiri kutoka redioni ama runingani. Msimamizi huyo wa nyumba ya kulala wageni hutumia sauti kubwa ili kuiburudisha nafsi yake, jambo linalopelekea kero kwa wateja. Nimekwisha ongea na boss mwenye mjengo lakini hata yeye hachukulii maanani
Just assume uko unaichapa, mara usikie "Mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa". Hivi unadhani hiyo mbususu unayoizagamua inakuchukuliaje kwa mfano!?🤔 Nje ya mada kidogo, ila maandiko mengine yanachekesha sana, kwamba aziniye na mwanamke hana akili kabisa😄 Kwa hiyo tulitakiwa tuzini na ng'ombe?
Turudi kwenye mada, uko unazagamua unaanza kusikia nyimbo za kiama, mara kuna moto, n.k Inasikitisha sana, soon nitapahama
Hivi hiyo kweli ni haki?