Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Stori za namna hii kwa kusikia ni kweli tunasikia sana, kipengele kinakuja kwenye kuhakiki
Soma hiyo ripoti ya huyo askari mwanzo hadi mwisho.
Huyo askari sio kichaa.
Pia niliuliza kule juu,je ni kila kitu kimethibitishwa kisayansi?
Jibu sikupatiwa.
 
Soma hiyo ripoti ya huyo askari mwanzo hadi mwisho.
Huyo askari sio kichaa.
Pia niliuliza kule juu,je ni kila kitu kimethibitishwa kisayansi?
Jibu sikupatiwa.
Sayansi imeweka mlango wa wazi kupokea kitu chochote kipya mkuu, ni continuous process.

Uchawi umekaa kimchongo mchongo.

Ungekua umenyooka mngeuelezea kws ufasaha
 
Kwahiyo mtu kwenda kwa mganga ndio ithbati kuwa uchawi upo?

Huwezi kuuelezea huo uchawi kama wenyewe na mechanism zake bila kuhusianisha na vitu vingine?

Huwa mnazunguuka Sana mazee hebu kubalini tu uchawi ni uzushi na utapeli mambo ziishe
Najua unachotaka ni sawa na kutaka uonyeshwe njaa yenyewe ilivyo au kuonyesha ugonjwa wenyewulivyo na si athari za huo ugonjwa.

Mimi naona wewe kama unaweza kutuonyesha kwamba uchawi ni uzushi basi fanya hivyo, maana tunachojua uchawi ni energy na hivyo haionekani ila tunaona athari zake ila kama wewe unaweza kueleza hicho kinachodhaniwa ni uchawi si uchawi bali ni kitu chengine basi fanya hivyo nipo teyari kujifunza.
 
Kuambiwa sana sio njia ya kuonyesha kitu kipo , zamani hizo ilisemekana kifafa ni kupandwa na pepo na ikaja thibitika ni ugonjwa wa kawaida tu
Madaktari gani walikuwa wanasema kwamba kifafa ni kupandwa kwa pepo?
 
Najua unachotaka ni sawa na kutaka uonyeshwe njaa yenyewe ilivyo au kuonyesha ugonjwa wenyewulivyo na si athari za huo ugonjwa.

Mimi naona wewe kama unaweza kutuonyesha kwamba uchawi ni uzushi basi fanya hivyo, maana tunachojua uchawi ni energy na hivyo haionekani ila tunaona athari zake ila kama wewe unaweza kueleza hicho kinachodhaniwa ni uchawi si uchawi bali ni kitu chengine basi fanya hivyo nipo teyari kujifunza.
Energy inapimika, tuambie energy ya uchawi inapimwa kutumia kifaa gani
 
Hata Wachawi wengi hawajui Lucifer mwenyewe ndiyo anaendesha hizo Secret society za Uchawi, coz Kwa level ya Uchawi wa wengi hawawezi kumsogelea Lucifer ila wanapokea Maelekezo Toka Kwa Wakubwa wao.

Mpango wa Lucifer ni kuwafanya Watu wasimwabudu Mungu, na njia aliyotumia ni kuingiza Uchawi kwenye Kila Familia, na amefanikiwa.

Kuvunja Maagano inahitaji uelewa na Muongozo wa Mungu mwenyewe, watu Watu walikufa, kuwa Wendawazimu hata kupata Ulemavu Kwa kujaribu kuvunja Madhabahu za Ukoo Kwa Akili zao, kumbuka Uchawi umeingia kwenye familia zetu labda kizazi Cha 7 ama 10 huko Nyuma, tukiamini ni Mizimu ya familia lakini nyuma ya hizo Spirit kuna Majini (Mapepo /Family Spirit).

Kuna Maagano Mababu labda miaka 500 iliyopita walifanya wakiamini wanalinda Familia na Ubaya, kumbe waliingiza matatizo kwenye Ukoo, bila mwongozo wa Mungu SI kazi ndogo, ni HATARI kuvunja Madhabahu kwa Akili zako.
Aisee
 
Kwani aliyesema uchawi haupo ni nani na msingi wa hoja yake ni upi?
Aloo vichwa vyenu ni vigumu aisee unageuza swali kuwa swali hahahhah

Yani hoja yako kuwa "uchawi upo" ni uthibitisho wa upande wa pili kuwa "haupo" hizo ni porojo

Kama umekosa hoja ya kutetea dhana yako kaa kimya
 
Energy inapimika, tuambie energy ya uchawi inapimwa kutumia kifaa gani
Sasa kama energy inapimika pia ungejua hiyo ni energy gani na hivyo ni kifaa gani hutumika kupimia. Kwani uchunguzi uliyofanyika kuchunguza kuhusu uchawi ulitumia kifaa gani hadi wakapata majibu hakuna uchawi?
 
Tuambie wewe uliofanya uchunguzi ukajua kuwa kuna uchawi ulitumia kifaa gani?
 
Kabla ya sayansi ya tiba ilisemekana hivyo ,haluna pahala nimesema madktari
Sasa kumbe kabla ya sayansi ya tiba kwa hiyo watu walikuwa wanajaribu kuelezea kwa namna wanayoona sawa, hata baada ya sayansi ya tiba bado kumekuwa na marekebisho ya mitazamo mbalimbali kuhusu maradhi na tiba hadi sasa hivi.
 
Aloo vichwa vyenu ni vigumu aisee unageuza swali kuwa swali hahahhah

Yani hoja yako kuwa "uchawi upo" ni uthibitisho wa upande wa pili kuwa "haupo" hizo ni porojo

Kama umekosa hoja ya kutetea dhana yako kaa kimya
Usichoelewa hadi sasa na ndio kinakupa shida ni kwamba uthibitisho haufanyi jambo kuwepo.
 
Sasa kumbe kabla ya sayansi ya tiba kwa hiyo watu walikuwa wanajaribu kuelezea kwa namna wanayoona sawa, hata baada ya sayansi ya tiba bado kumekuwa na marekebisho ya mitazamo mbalimbali kuhusu maradhi na tiba hadi sasa hivi.
Ndio maana nikakuambia dhana ya uchawi ipo sehemu penye ukosefu wa utambuzi wa jambo

Binafsi nilishavumishiwa natumia uchawi ila nikajua ni kuto jua tu jambo kwa hiyo jamii ndio kunawasumbua
 
Back
Top Bottom