Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Sayansi ina mapana yake na haipo kwenye kifungo cha kutobadilika.

Ndio maana nakutaka uthibitishe ya kua ukimwi ni ugonjwa wa kulogwa kama walivyo kua wanaamini watu africa ikiwemo na wanaosemekana ni wachawi pia.
Tatizo la utata kwenye ukimwi sio sayansi yenyewe bali watu ndio wanaaminisha watu yasio ya kweli kuhusu ukimwi ambapo ni kinyume na sayansi.
 
Ingekuwa hivyo mkuu hadi leo kusingekuwa na watu wenye kwenda kwa waganga ili kuroga wenzao, kwa maana wasingekuwa wanapata matokeo waliyokusudia.
Kwahiyo mtu kwenda kwa mganga ndio ithbati kuwa uchawi upo?

Huwezi kuuelezea huo uchawi kama wenyewe na mechanism zake bila kuhusianisha na vitu vingine?

Huwa mnazunguuka Sana mazee hebu kubalini tu uchawi ni uzushi na utapeli mambo ziishe
 
Unachotaka wewe ni uthibitisho ila kuhusu kuwepo uchawi ushaambiwa sana kuwa upo.
Kuambiwa sana sio njia ya kuonyesha kitu kipo , zamani hizo ilisemekana kifafa ni kupandwa na pepo na ikaja thibitika ni ugonjwa wa kawaida tu
 
Uchawi kuwepo kichwani kwa muamini ama kutokuwepo haimaanishi kuwa haupo.
Ni sawa na useme mimi namuamini Mungu wewe humuamini hai justify kuwa Mungu hayupo.
Ningeomba uisome hii kesi mkuu.
Halafu sema wewe hapa umeelewa nini.
Hao ni wazungu mnaowaamini sana.
Hata kipimo cha AUTOPSY kimeshindwa kugundua huyo binti alikufa na nini.
Vimefanyika vipimo vikubwa ila hakuna hata kimoja kilicholeta majibu kwanini binti alikua anaumwa na kuvurugukiwa akili na kutokwa na mapovu mdomoni.
View attachment 3446962View attachment 3446963View attachment 3446964View attachment 3446965
Kabla ya kusoma hii page ndefu yenye maneno ya kizungu kwanza sijawahi sema popote nawaamini wazungu 🤔
 
Tatizo la utata kwenye ukimwi sio sayansi yenyewe bali watu ndio wanaaminisha watu yasio ya kweli kuhusu ukimwi ambapo ni kinyume na sayansi.
Ndio maana nikasema watu kutaja sana uchawi sio sababu ya kuthibitisha upo 🤔 binadamu tuna kawaida ya kuviweka vitu tusivyo na majibu nayo upande wa nguvu fulani kama nadharia tu🤔
 
Uchawi kuwepo kichwani kwa muamini ama kutokuwepo haimaanishi kuwa haupo.
Ni sawa na useme mimi namuamini Mungu wewe humuamini hai justify kuwa Mungu hayupo.
Ningeomba uisome hii kesi mkuu.
Halafu sema wewe hapa umeelewa nini.
Hao ni wazungu mnaowaamini sana.
Hata kipimo cha AUTOPSY kimeshindwa kugundua huyo binti alikufa na nini.
Vimefanyika vipimo vikubwa ila hakuna hata kimoja kilicholeta majibu kwanini binti alikua anaumwa na kuvurugukiwa akili na kutokwa na mapovu mdomoni.
View attachment 3446962View attachment 3446963View attachment 3446964View attachment 3446965
Yani hizi zote ni ngonjera kama mnazotupa nyie hapa maneno tu bila uthibitisho
 
Uchawi kuwepo kichwani kwa muamini ama kutokuwepo haimaanishi kuwa haupo.
Ni sawa na useme mimi namuamini Mungu wewe humuamini hai justify kuwa Mungu hayupo.
Ningeomba uisome hii kesi mkuu.
Halafu sema wewe hapa umeelewa nini.
Hao ni wazungu mnaowaamini sana.
Hata kipimo cha AUTOPSY kimeshindwa kugundua huyo binti alikufa na nini.
Vimefanyika vipimo vikubwa ila hakuna hata kimoja kilicholeta majibu kwanini binti alikua anaumwa na kuvurugukiwa akili na kutokwa na mapovu mdomoni.
View attachment 3446962View attachment 3446963View attachment 3446964View attachment 3446965
Hizi ni kama shuhuda za mwamposa tu maneno tupu
 
Kuambiwa sana sio njia ya kuonyesha kitu kipo , zamani hizo ilisemekana kifafa ni kupandwa na pepo na ikaja thibitika ni ugonjwa wa kawaida tu
Hata zamani kulikua na watu wa tiba asili wanaweza kung'amua huu ugonjwa huu ni ushirikina.
Mie nina kitabu cha miaka ya 1960s ambacho babu yangu alinipatia kabla hajafariki.
Kina dawa za tiba asili za Kila ugonjwa hadi kifafa na magonjwa jumuishi ambayo hayaeleweki.
Na pia kuna dawa za kumtibu mtu magonjwa ya kiza kwa mitishamba hiyo hiyo.
Kimeandikwa kwa kiarabu.
 
Kabla ya kusoma hii page ndefu yenye maneno ya kizungu kwanza sijawahi sema popote nawaamini wazungu 🤔
Basi sawa niwie radhi.
Basi soma hii Vallecas case ambayo inspector wa polisi anaandika katika upepelezi wake kwa mara ya kwanza ameona vitu vikisogea na vikivutwa kwa nguvu isiyoonekana.
 
Ndio maana nikasema watu kutaja sana uchawi sio sababu ya kuthibitisha upo 🤔 binadamu tuna kawaida ya kuviweka vitu tusivyo na majibu nayo upande wa nguvu fulani kama nadharia tu🤔
Kiuhalisia sio kila kitu kina majibu na kinaweza kuthibitika kisomi.
Huo ndio ukweli mkuu.
 
Ambavyo havijathibitika hatuwezi kusema tu ni uchawi , huenda tukibaki kwenye hiyo dhana tukakosa fumbuzi za kutatua tatizo , ebu fikira kama ukoma na kifafa watu wangebaki kuamini ni uchawi tu mpaka leo?
 
Hata zamani kulikua na watu wa tiba asili wanaweza kung'amua huu ugonjwa huu ni ushirikina.
Mie nina kitabu cha miaka ya 1960s ambacho babu yangu alinipatia kabla hajafariki.
Kina dawa za tiba asili za Kila ugonjwa hadi kifafa na magonjwa jumuishi ambayo hayaeleweki.
Na pia kuna dawa za kumtibu mtu magonjwa ya kiza kwa mitishamba hiyo hiyo.
Kimeandikwa kwa kiarabu.
Kwahiyo tiba za miti shamba ndio uchawi?
 
Njoo nikufundishe namna ya kitengeneza Radi Kwa kutumia funza watokao mwilini mwa binadamu
 
Ambavyo havijathibitika hatuwezi kusema tu ni uchawi , huenda tukipaki kwenye hiyo dhana tukakosa fumbuzi za kutatua tatizo , ebu fikira kama ukoma na kifafa watu wangebaki kuamini ni uchawi tu mpaka leo?
Ambao walioamini kuwa ni uchawi ni wale ambao walijikita hapo peke yake.
Wapo ambao walifanya tafiti za asili na kugundua kifafa ni ugonjwa wa kawaida pia hapo hapo wakiamini kuwa vipo vinavyosababishwa na uchawi.
Umewahi kuzifuatilia Ancient Persian script na Egyptian scripts kuhusiana na tiba mchanganyo?
 
Uchawi ni suala la imani za nguvu za kiza na kiroho.
Suala kama hili linahusisha nguvu za kiroho zisizoonekana kwa macho ya nyama.
Pia ina taratibu zake ambazo huwa zinahusisha kafara za damu,pia Ina miiko yake na mipaka yake.
Ndo mwisho wa maelezo au utakuja kuendelea mkuu?
 
Basi sawa niwie radhi.
Basi soma hii Vallecas case ambayo inspector wa polisi anaandika katika upepelezi wake kwa mara ya kwanza ameona vitu vikisogea na vikivutwa kwa nguvu isiyoonekana.
Stori za namna hii kwa kusikia ni kweli tunasikia sana, kipengele kinakuja kwenye kuhakiki
 
Back
Top Bottom