Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Yani hizo changamoto za rafiki ako umezishudia wewe na hujazisema ila maelezo nitoe mimi kuwa ni kitu gani kama sio uchawi?🤣🤣🤣

Mimi siwezi kuwa na kesi yoyote inayohusu uchawi, uchawi haupo

"Mimi siwezi kuwa na kesi yoyote inayohusu uchawi, uchawi haupo."

Kwanini haujawahi kukutana na kesi yeyote inayohusu uchawi ni kwamba unaishi eneo ambalo watu hawaamini uchawi hivyo hakuna hizo kesi za uchawi? Je, kusema kwako hakuna uchawi ni matokeo tu yaliyosababishwa na kuishi eneo ambalo hakuna kesi za uchawi au kuna uchunguzi uliyofanya kuhusu imani za uchawi?
 
Thibitisha kuwa uchawi upo
 
Tupo tumerithishwa, ila ni siri njo ujiunge utapata majibu ya maswali yako yote.
 
Yani hizo changamoto za rafiki ako umezishudia wewe na hujazisema ila maelezo nitoe mimi kuwa ni kitu gani kama sio uchawi?
Tz mbongo hili hapa hujajibu jibu hili halafu nithibitishie au nioneshe uchawi upoje ili niujue kwanza halafu tuendelee siwezi kueleza kitu ambacho hakipo na wala sikijui
 
Jibu hayo maswali kwani shida ipo wapi mbona mie nimejibu ulichoniuliza. Una uhakika kuwa uchawi hakuna sasa unashindwa nini kujibu hayo maswali?
Jibu hilo swali ulioacha hapo na unielezee uchawi upoje ili niujue kwanza upoje

Sasa waniuliza visa vya uchawi wakati uchawi siujui upoje? Kama kweli uchawi upo niambie upoje ili niujue kwanza

Ukishaelezea uchawi upoje taja hizo changamoto alizopata rafiki ako ni changamoto gani tuzijue halafu tuendelee na mjadala

Angalizo: usiruke swali jibu kama nilivyouliza maana unaletaga maelezo sio majibu, jibu kama nilivyouliza

Mfano

1. Uchawi upo hivi............tiririka

2. Changamoto za rafiki angu zilikuwa...

a...........
b.........
 
Tz mbongo hili hapa hujajibu jibu hili halafu nithibitishie au nioneshe uchawi upoje ili niujue kwanza halafu tuendelee siwezi kueleza kitu ambacho hakipo na wala sikijui
Hata sijui umeandika nini huko mwanzo, nimeelewa tu hapo mwisho ulivyosema uchawi ni kitu ambacho hukijui.
 
Sawa elezea uchawi upoje na utaje hizo changamoto za rafiki ako kama nilivyouliza hapo
 
Jibu hilo swali ulioacha hapo na unielezee uchawi upoje ili niujue kwanza upoje

Sasa waniuliza visa vya uchawi wakati uchawi siujui upoje? Kama kweli uchawi upo niambie upoje ili niujue kwanza

Ukishaelezea uchawi upoje taja hizo changamoto alizopata rafiki ako ni changamoto gani tuzijue halafu tuendelee na mjadala

Angalizo: usiruke swali jibu kama nilivyouliza maana unaletaga maelezo sio majibu, jibu kama nilivyouliza

Mfano

1. Uchawi upo hivi............tiririka

2. Changamoto za rafiki angu zilikuwa...

a...........
b.........
Sasa kama unakiri kuwa hata huo uchawi huujui inakuaje unasema hakuna kitu ambacho hata haukijui?
Kwanini toka mwanzo usingeanza kwa kuuliza kwanza huo uchawi ni nini ili ukishafahamu hicho kitu chenyewe ndio ungechangia mada ila wewe umekuja moja kwa moja kudai hakuna uchawi na mbaya zaidi unataka uthibitishiwe kitu ambacho hata haukijui, sasa huku si kupotezeana tu muda maana tunaenda mbele kisha tunarudishana nyuma.

Sitojibu swali lolote mpaka uniambie kwanini umekimbilie kusema hakuna uchawi hali ya kuwa hujui uchawi ni nini na wala katika maisha yako hujawahi kukutana na kesi yoyote uchawi?
 
Yale yale niliyosema, kama huwezi kujibu kaa kimya
 
Sawa elezea uchawi upoje na utaje hizo changamoto za rafiki ako kama nilivyouliza hapo
Kwanini ni muhimu kueleza hizo changamoto?

Ulitaka nieleze kwanini mimi nakubali kuwepo kwa uchawi nimekutajia kesi za uchawi ambazo nimekutana nazo na nikasema nimezishuhudia kuanzia mwanzo hadi hatua ya mwisho, hivyo si jambo la kusikia au kuhadithiwa.
 
Haya yote ni maelezo jibu swali tuendelee na mjadala kama huwezi kujibu kaa kimya
 
Jibu hilo swali ulioacha hapo na unielezee uchawi upoje ili niujue kwanza upoje

Sasa waniuliza visa vya uchawi wakati uchawi siujui upoje? Kama kweli uchawi upo niambie upoje ili niujue kwanza

Ukishaelezea uchawi upoje taja hizo changamoto alizopata rafiki ako ni changamoto gani tuzijue halafu tuendelee na mjadala

Angalizo: usiruke swali jibu kama nilivyouliza maana unaletaga maelezo sio majibu, jibu kama nilivyouliza

Mfano

1. Uchawi upo hivi............tiririka

2. Changamoto za rafiki angu zilikuwa...

a...........
b.........
Tz mbongo jibu kama hivi kama huwezi kaa kimya
 
Yale yale niliyosema, kama huwezi kujibu kaa kimya
Siwezi kuwa nabishana na mtu kwa kitu ambacho kumbe hata hakijui, na ndio maana toka mwanzo umekariri maneno mawili tu na kuyarudia hayo hayo "hakuna uchawi,thibitisha" mbali na hapo huna unachokijua.

Sasa umeona wapi mtu anadai uthibitisho kwa kitu ambacho hakijui? Ndio shida ya kujadiliana na wa 2000.
 
Haya yote ni maelezo jibu swali tuendelee na mjadala kama huwezi kujibu kaa kimya
Sipo hapa kujibu tu maswali yako sio chumba cha mtihani hiki, nishajua nilikuwa nabishana na mtu kwa kitu ambacho hakijui. Subiri ukuwe ukutane na kesi za uchawi ndio uje kubishana hapa.

Asubuhi njema.
 
Siwezi kuwa nabishana na mtu kwa kitu ambacho kumbe hata hakijui, na ndio maana toka mwanzo umekariri maneno mawili tu na kuyarudia hayo hayo "hakuna uchawi,thibitisha" mbali na hapo huna unachokijua.

Sasa umeona wapi mtu anadai uthibitisho kwa kitu ambacho hakijui? Ndio shida ya kujadiliana na wa 2000.
Bila majibu siwezi kujibu hoja yako yoyote jibu kwanza acha maelezo

Kama hujui na huwezi elezea uchawi upoje na kujata hizo changamoto za rafiki ako kaa kimya
 
Back
Top Bottom