min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,897
- 176,210
Bila hata science tofauti na maneno ya kuambiwa tu na kuamini hauwezi Thibitisha kinachoitwa roho.Nimeshakukosoa HUWEZI UKAPIMA MSTARI WA LONGITUDE NA LATITUDE.
Zinazopimwa ni coordinates points zinazotokana na makisio ya hizo longitude na latitude.
Jibu swali langu unaweza ukapima kila kitu?
Can you sense,feel or touch a soul?
Can you prove scientifically that there is a soul in a body!?