Washindwe kutambua kazi zao kivipi mkuu?Hii kitu mpaka hao inaosemekana ni wachwi waliamini hivyo , ikawaje washindwe tambua kazi zao?
Wao kuamini juu ya nguvu za kiza wakajikita na kujiaminisha kuwa kila kitu hutatuliwa na huponywa kwa nguvu za kiza.