Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Hoja zao za kitoto kichizi, mtu anakwambia kama uchawi upo mbona hawaibi bank wakati huo anakataa kesi za uchawi wa chuma ulete huku mitaani na sababu ya kukataa ni kwamba hakuna uthibitisho, sasa najiuliza hata akiambiwa watu wameiba kichawi bank bado hatokubali atasema hakuna uthibitisho. Mwengine anataka arogwe kama kweli uchawi upo wakati huo hata hajui huko kurogwa kukoje ili aweze kutofautisha kurogwa na kutokurogwa kama anangojea aote mkia ndio ajue karogwa.
Mkuu nimejiridhisha tunahangaika kujadili haya mambo na walevi.
 
Yani unasikia case? Mimi nikajua umeona! Wee jamaa unachekesha upo Tanga ipi mkuu Tanga kubwa
Hata akikwambia ameona ndio utakubali? Nyie jamaa bure kabisa, akikwambia ameona utasema muongo, au kaona maruweruwe tu au hajaelewa alichokiona hivyo kaamini tu kuwa ni uchawi.
 
Hata akikwambia ameona ndio utakubali? Nyie jamaa bure kabisa, akikwambia ameona utasema muongo, au kaona maruweruwe tu au hajaelewa alichokiona hivyo kaamini tu kuwa ni uchawi.
Yani aone yeye tu asiweze kutuonesha na sisi kama sio uwongo ni nini?

Mimi nimeona mti na nakuonesha mti ule pale kama wewe umeona uchawi tuoneshe
 
Hata akikwambia ameona ndio utakubali? Nyie jamaa bure kabisa, akikwambia ameona utasema muongo, au kaona maruweruwe tu au hajaelewa alichokiona hivyo kaamini tu kuwa ni uchawi.
Mkuu hawa watu tuachane nao...

Binafsi siamini, bali najua uchawi upo na unafanya kazi...

Nimeona watu wakidhurika na uchawi waziwazi...
 
Mkuu hawa watu tuachane nao...

Binafsi siamini, bali najua uchawi upo na unafanya kazi...

Nimeona watu wakidhurika na uchawi waziwazi...
Nyie ndio mitaji ya akina mwamposa and i guess hata kuishi na watu kwenu kunakuwa shida sana maana ukipatwa na tatizo unaamini kakuroga
 
tushakutana kwenye mijadala mara kadhaa mkuu

upo evasive sana ---
Tunapishana sana kiwango cha uelewa na ndio maana sikuwa nataka kureply comment zako humu mkuu toka mwanzo. Hizi mada ni ngeni kwako mkuu hivyo binafsi siwezi kujadili kwa namna unayotaka, mie nishatoka huko kitambo.

Jioni njema mkuu.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax

mganga anayeua watu anapatikana wapi mkuu.?

jioni njema pia
 
Natengeneza msingi wa hoja yangu, hivyo jibu...
Nadhani ushapata jibu kuwa hapa tunajadili kuhusu UCHAWI

Na atheism ni kuhusu uwepo wa Mungu kwa hapa hiyo hoja ni unrealistic leta hoja inayoendana na mada
 
Wewe si ndio unasema hakuna uchawi na kama upo basi mtu akuroge? Sasa tena mbona unaniuliza mie kama naweza kuthibitisha kama uchawi upo?

Mimi nataka wewe unaetaka kurogwa ndio ueleze kurogwa kukoje maana isije ukawa unasema hakuna aliyeweza kukuroga na unahitimisha hakuna uchawi wakati haujui huko kurogwa kwenye kukoje.
Now you’re just babbling 🤣.
 
Ukute huyo ni pastor imani za kichawi ndio zinazomueka mjini kuwaaminisha watu ujinga🤣🤣🤣🤣

Ukimwambia thibitisha anaruka ruka
Sasa hao wanaoaminishwa huko kwa pastor na wewe unayepinga kwenye keyboard yako na kutaka uletewa uthibitisho hapo ulipo mnatofauti gani? Anayeaminishwa na anayepinga vitu asivyovielewa hawana tofauti kabisa.

Mtu kama wewe umeshikilia msimamo wa kupinga hakuna uchawi ila kuna vitu vyenye kuhusishwa na huo uchawi ambavyo huvielewi na wala hautaki kuchunguza uelewe, sasa huo msimamo wa kupinga uchawi umejenga na msingi upi ushawahi kujiuliza hilo swali au ndio kisa tu hakuna uthibitisho huo msingi wa kupinga uchawi?
 
Huo ni uzuzu wa mwenye kuamini hayo maujinga sio uchawi. Kwani nikuulize

Bila uchawi hakuna uchizi?

Bila uchawi hakuna kifo?

Nijibu ili nikuelimishe
Uchizi upo bila uchawi na kifo kipo kisichohusishwa na uchawi.
 
Sasa hao wanaoaminishwa huko kwa pastor na wewe unayepinga kwenye keyboard yako na kutaka uletewa uthibitisho hapo ulipo mnatofauti gani? Anayeaminishwa na anayepinga vitu asivyovielewa hawana tofauti kabisa.

Mtu kama wewe umeshikilia msimamo wa kupinga hakuna uchawi ila kuna vitu vyenye kuhusishwa na huo uchawi ambavyo huvielewi na wala hautaki kuchunguza uelewe, sasa huo msimamo wa kupinga uchawi umejenga na msingi upi ushawahi kujiuliza hilo swali au ndio kisa tu hakuna uthibitisho huo msingi wa kupinga uchawi?
Vitu gani vinahusishwa na uchawi tuvijadili hebu vitaje
 
Back
Top Bottom