Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli?

Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
Wapi kwingine ushawasikia wanatoa elimu yao?
 
Chuma ulete ingekua kweli bank zingefunga ofisi 🤣

Ukisema hivyo wanakwambia bank ndo kuna uchawi mkubwa zaidi --- muasisi wa hizi theory sjui ni nani
Utasikia eti bank kuna mazindiko🤣🤣🤣🤣🤣
Mazindiko yatoke wapi,Kila siku mabenk yanazinduliwa tunaona kwa macho,wajinga ndio waliwao!!
 
Kipindi nipo chuo kuna jamaa aliwahi nisingizia kama mimi mchawi et kisa nilikua natembea na mdada flan hv wa mwaka wa 4 telecom kipindi hiko mimi niko first year..

Ila kwa sasa naweza sema mi ni mchawi kwa hawa mashangazi...
Uchawi upo kama mimi naweza kukuambia uchawi naotumia kuwala mashangazi na maajabu ya majinya godogodo ...

Leo naweza toa siri ipo hvi..
Uchawi upo wa tofauti tofauti ila mi wangu ni wa mitishamba
Yaan wewe,sijui dhambi gani huifanyi🤣🤣🤣
 
Hakika mkuu, kichws ujikijaza wenge unaona wenge
Manyara kuna mlima watu walidai kuna uchawi eneo fulani , miaka ya 2000 hivi ukipanda ukafika hilo eneo unakuwa kama umechanganyikiwa na kupoteza kumbukumbu na mauza uza , watu wakadai mlima wa wachawi.

Ikaja gundulika kulikua ni aina fulani ya uyoga, ukipukutisha unga wake , inakua kama kilevi na kuvuruga akili na kuleta illusion za ajabu
 
Utasikia eti bank kuna mazindiko🤣🤣🤣🤣🤣
Mazindiko yatoke wapi,Kila siku mabenk yanazinduliwa tunaona kwa macho,wajinga ndio waliwao!!
Hakika aisee,pesa utumie vibaya wewe then usingizie mazindiko🤣🤣
 
Yaan wewe,sijui dhambi gani huifanyi🤣🤣🤣
Mi siuwi kwa kweli....
Japo kuna dogo flan mda wa mshenyento et alikua anasema "*kill me kill me kill me""" ila nikasema siwezi muua mtu ni dhambi hiyo
 
🤣🤣🤣🤣Kwanini usiwe comedian wa kulipwa mkuu?
😃😃😃😃😃 Niache 2 yeye
Nache kwanza tufanye yameisha šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Back
Top Bottom