To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,219
- 37,951
- Thread starter
- #81
🤣🤣🤣🤣Kipindi nipo chuo kuna jamaa aliwahi nisingizia kama mimi mchawi et kisa nilikua natembea na mdada flan hv wa mwaka wa 4 telecom kipindi hiko mimi niko first year..
Ila kwa sasa naweza sema mi ni mchawi kwa hawa mashangazi...
Uchawi upo kama mimi naweza kukuambia uchawi naotumia kuwala mashangazi na maajabu ya majinya godogodo ...
Leo naweza toa siri ipo hvi..
Uchawi upo wa tofauti tofauti ila mi wangu ni wa mitishamba