To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,327
- 38,267
- Thread starter
- #201
🤣🤣🤣Mbali na comments lakini kaasili ka ukorofi unako mkuu🙌Kama uchawi upo, kwa nini hauthibitishiki?
Watu tulishatoa ofa ya kurogwa lakini mmeshindwa!
Ngoja niwatukane tena….nyie wachawi wote ni wacenge tu 🖕.
Haya nirogeni sasa