Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

Kipindi nipo chuo kuna jamaa aliwahi nisingizia kama mimi mchawi et kisa nilikua natembea na mdada flan hv wa mwaka wa 4 telecom kipindi hiko mimi niko first year..

Ila kwa sasa naweza sema mi ni mchawi kwa hawa mashangazi...
Uchawi upo kama mimi naweza kukuambia uchawi naotumia kuwala mashangazi na maajabu ya maji ya godogodo ...

Leo naweza toa siri ipo hvi..
Uchawi upo wa tofauti tofauti ila mi wangu ni wa mitishamba
 
Back
Top Bottom