Historia ya maisha yangu

Mimi na watoto watatu kwa mama tofauti na wote nagharamia kila kitu 100%,mwanaume ambae hatunzi mtoto wake ni shoga tu....unatesa damu yako kama alikulazmisha umzae
 
Ameshafilisika?

Maana kuna jamaa nchi jirani alioa mke wa Sumbawanga. Bahati mbaya mke wake Kafariki.

Ndani ya miezi miwili jamaa akataka kufunga ndoa, wakwe na ndugu wa mke wakamuomba asifunge ndoa asubirie hata kaburi la mtoto wao liote nyasi.

Jamaa akawajibu hawezi yeye ameshaamua- ndugu wa mke wakamuambia kwakuwa mali alizonazo ndiyo zinampa kiburi basi watamuonyesha.

Ndani ya wiki magari 7 ya mwamba yakala mzinga..... Siku ya harusi alikuwa amemuagizia nje mke mpya gari na yenyewe ikiwa inapelekwa Zambia kabla ya kufika mpakani Tunduru nayo ikala mzinga.

Kwahiyo magari nane ndani ya wiki moja yalipata ajali.

Watu wa Sumbawanga hapana, mtafanya wanaume wasioe huko Kwakweli.
 
Sasa nikutoe jalalani ambapo hao maslay Quee walikuwa wanakuona kinyesi,afu uniletee shobo? thubutuuu 😂anadondoka mdogomdogo ama nilivyompndisha mdogomdogo,ni suala la muda tu🙏
 
Sasa nikutoe jalalani ambapo hao maslay Quee walikuwa wanakuona kinyesi,afu uniletee shobo? thubutuuu 😂anadondoka mdogomdogo ama nilivyompndisha mdogomdogo,ni suala la muda tu🙏
Umeshafeli wewe, wenzako walipofanya haijatumia muda mrefu.
 
Ahaahahhaaahhaa...unanuka pumb.uu[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Naudhikaga na hiz swag zenu...eti nijishushe why ww usijishushe kwangu na nimekuzalia mtoto? Why haya uloandkka usigeuze ukamshauri huyo kaka? Ah mm hapana...pita hv
Yaaan wanaume wanajionaga kitu gani sijui[emoji57][emoji57]

Yaan kupenda kunyenyekewa, akikunyanyasa ukae kimyaaa[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo pumzi inaondoka au??[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…