Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Ila kuachwa kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa yule uliyempenda
 
Habari za mida wadau.kama awali nilivyosema naenda mshtaki kwa wazee katavi yule ng'ombe,nilifanya hivyo, first time akapangua manake umekuwa mchezo wake ,yeye na mama yake na mkewe kwa miaka mi4 Sasa,huku nikiwa sijui.
Mzee akapiga ya kwanza,Bibi yake mchawi akapangua,yuko nchi jirani.Akaivunja nguvu.

Mzee akaona,akajibu shambulizi,wakatepeta. Ila wakaamka na kuanza kujibu Tena,hahahah Kama movie ya Rambo vile,so saivi tunaingia awamu ya pili ya mashambuliz,kumbe ulikuwa mshirikina kenge wewe,sikufahamu,sema umechezea mwanangu na Mimi vya kutosha.Nilidhan tutalea kizungu ,kucoparent,kumbe umelelewa na wanga all along.

Afu maza ako anaumwa na ustaafu wake likikukosa wewe litampata yeye.Vita ni Vita murah.salaam toka katavi.
Aisee
 
Tunaomba mrejesho mfipa mwenzangu mbna saizi kimya vipi babu hajafanikiwa?

Kusoma ni Jambo lingine kua na maarifa namna yakuishi ni Jambo lingine pia.
 
Tunaomba mrejesho mfipa mwenzangu mbna saizi kimya vipi babu hajafanikiwa?

Kusoma ni Jambo lingine kua na maarifa namna yakuishi ni Jambo lingine pia.
Kazi inaendelea kimya kimya,tushampigw kombola moja,kumbuka lengo ni arudi zero so unaenda mdogomdogo🙅tumeanza na gari yake ya mjapani🤣🤣
 
I told you mtu yoyote aliopo huko kabla hajafanya chochote lazima kwanza ajikinge sasa endeleeni na huyo babu yako wa katavi siku jamaa akirufisha mapigo mtakimbiana mfe we zani mchezo .....

Nilikuambia kwa Nini tu usimuamini mwenyezi Mungu alie muepusha mwanao na mabalaa yote na kimfanya aendelee kudunda tu mtaani. Wewe umeendelea kukomalia vibuyu na huyo babu yako .

Acha ujinga maana kinacho fuata ni maumivu makali Sana.
Acha ujinga wewe,katavi haidanganyi 🙏,tukimkosa huko tunampata nakonde,ngoma haivuki mpaka ,ikishindikana nakonde nasalimu amri🙅
 
I told you mtu yoyote aliopo huko kabla hajafanya chochote lazima kwanza ajikinge sasa endeleeni na huyo babu yako wa katavi siku jamaa akirufisha mapigo mtakimbiana mfe we zani mchezo .....

Nilikuambia kwa Nini tu usimuamini mwenyezi Mungu alie muepusha mwanao na mabalaa yote na kimfanya aendelee kudunda tu mtaani. Wewe umeendelea kukomalia vibuyu na huyo babu yako .

Acha ujinga maana kinacho fuata ni maumivu makali Sana.
Ngoma si ya siku moja,Kama nilivyompandisha mdogomdogo ndo anashuka hivyohivyo🤣
 
Back
Top Bottom