Kipepeo wa chuma1
JF-Expert Member
- Jan 17, 2021
- 387
- 558
- Thread starter
- #281
Hapana watakiwa kuripot mwenyewe,Ila unaenda ripot Nini Sasa ikiwa hata mtoto huna,huna mume,huna alokukosea,unaenda ripot Nini?Mkuuu...Mimi Sina Mume Sina mtoto...na Sina hela[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..
Ndo maana nakwambia UNIFANYIE udalali huko kwa mganga wako....nikitumie angalau jina namimi unirogeeee[emoji3][emoji3][emoji3]
Wallahi life is hard