Historia ya maisha yangu

Huo ni mtazamo wako
Unamshauri vizuri hata mimi naungana na wewe
Ila sasa kuupokea ushauri wako au kuuacha ni maamuzi yake hatuwezi kumlazimisha
Maisha ni yake ,akiharibu ni yeye mimi na wewe hatudhuriki so tumuache mtu atumie nafasi ya maisha yake kama anavyo taka
Script ya maisha yake ni yake wacha sisi tutengeneze script tofauti kupitia makosa yake
Umeshamwambia inatosha tuendelee kusubiri muendelezo wa hizo radi
Mmmmh radi?



Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwanamke kwanza

Ni mjinga
Pili,alijitongozesha mwenyewe
Tatu,anaongea sana na much know ndo maana aliachwa.

Huwezi kujisifia uganga wa mtu wkt uchawi ni kama taaluma tu wewe ukivijua vya mashariki wenzako wanavijua vya magharibi...

Unadhani Dr aliemsomea marekani atakuwa sawa na urusi au india?Huyu unayemuamini ana nguvu anapitwa pia...

Mtu wakujiamini nae ni Mungu tu wengine wote unaenda kuanzisha vita ambayo unaweza usishinde vile vile kwahiyo nenda ila usijiamini upuuzi...

Jinga kbs na usimuambukize huyo mtoto wa jamaa ujinga wako na machuki yako,it was ur mistake kujipelekea kwa mwanaume hovyo na kushika mimba kwa mtu asiye mumeo.....

Na huyo baba mtoto wako nae jinga ila umemzidi ujinga.
Khaaaa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Pale mchawi anapo msema mwenzake.


Kubwa kuliko yote Kuna babu ameshakushika akili anajilia mshahara wako bila jasho utadanganywa mpka akili ikukae sawa. Hata awamu ya pili mliyoianza huyo babu atakwambia wamepangua ongeza dau na vifaa vya kazi .


Hapa duniani Ni akili tu si mnaona huyu msomi ameshashikwa akili na mzee ambae siajabu hata kuandika vizuri hajui anajilia mshahara wa bure.
Hamna msomi hapo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Yani kiherehere pro max
Nilivutiwa na story za mwali na mme wa mtu, ndio nikaona nifukue kaburi kuangalia yaliyomo yamo.

Bado vita inaendelea tusubiri mrejesho, ukoo utakusanyika yani mi namuaminia sana huyu huko katavi mambo yatakua yamepamba moto.
Khaaaa na wee ni muumini wa haya...

Mi bado naona ni mapichapicha tu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ila kweli mahusiano yanataka mmoja awe mjinga...hiyo para ya mwisho mm siwez kbs jaman dah hapana jaman ndo maana natafuta hela zangu by hooks n crooks .chaaa, unenitelekeza then nikunyenyekekee..jaman Mbingu nitaiskiaga tu
Mahusiano yanataka mke awe mnyenyekevu, 50/50 ni mpango wa Ibilishi yule shetani.
Upo kwenye ndoa wewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom