Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Kama mwenyezi ambavyo hajaruhusu mwanao kudhurika na uchawi wao unao dai . Nikumbushe pia hata ruhusu uchawi wako uwadhuru na aibu itabaki kwako . Na majuto yataendelea Kama kawaida . Maana katika maisha ya kawaida hamna Alie beba ugomvi akabaki salama .

Inavyo onesha wewe ni mwanamke mshirikina na maandiko Yana tuaasa Nini juu ya mwanamke mshirikina...?
 
Wameanza namaliza🙏akuanzaye mmalize.
 
Kilinge kitaongea Kama Nina wivu naye ama Sina,toka nikiwa vizuri alikuwa hatoi ushirikiano kumlea huyu mtoto,nikaona fresh nikakomaa mwenyewe,kilichoniuma kwenda kumloga mwanangu,na kutaka kumkil kabisa,halafu nikae kimya tu,wakati natoka katavi?hapana
Mzaz kwel satake kumuua mwanae wakumzaaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mida wadau.kama awali nilivyosema naenda mshtaki kwa wazee katavi yule ng'ombe,nilifanya hivyo, first time akapangua manake umekuwa mchezo wake ,yeye na mama yake na mkewe kwa miaka mi4 Sasa,huku nikiwa sijui.
Mzee akapiga ya kwanza,Bibi yake mchawi akapangua,yuko nchi jirani.Akaivunja nguvu.

Mzee akaona,akajibu shambulizi,wakatepeta. Ila wakaamka na kuanza kujibu Tena,hahahah Kama movie ya Rambo vile,so saivi tunaingia awamu ya pili ya mashambuliz,kumbe ulikuwa mshirikina kenge wewe,sikufahamu,sema umechezea mwanangu na Mimi vya kutosha.Nilidhan tutalea kizungu ,kucoparent,kumbe umelelewa na wanga all along.

Afu maza ako anaumwa na ustaafu wake likikukosa wewe litampata yeye.Vita ni Vita murah.salaam toka katavi.
 
Ukiweza kuwamariza nakupa dili Kali sana ya kummaliza ili asitusumbuage
 
Witch from Katavi.... tengeneza movie..nshakupa title..

Alafu ulikutana nae Humu JF...?... Mtumie PM TU inatosha... Maana naona UNAHITAJI Sana muhisika ajue kuwa unamroga

Mtumie msg mi ntakutumia bundle
 
Pale mchawi anapo msema mwenzake.

Kubwa kuliko yote Kuna babu ameshakushika akili anajilia mshahara wako bila jasho utadanganywa mpka akili ikukae sawa. Hata awamu ya pili mliyoianza huyo babu atakwambia wamepangua ongeza dau na vifaa vya kazi .

Hapa duniani Ni akili tu si mnaona huyu msomi ameshashikwa akili na mzee ambae siajabu hata kuandika vizuri hajui anajilia mshahara wa bure.
 
Pale mchawi anapo msema mwenzake.

Kubwa kuliko yote Kuna babu ameshakushika akili anajilia mshahara wako bila jasho utadanganywa mpka akili ikukae sawa. Hata iwamu ya pili mliyoianza huyo babu atakwambia wamepangua ongeza dau na vifaa vya kazi .

Hapa duniani Ni akili tu si mnaona huyu msomi ameshashikwa akili na mzee ambae siajabu hata kuandika vizuri hajui anajilia mshahara wa bure.
Chuma huliwa na kutu...Cha mtu huliwa na mtu..
 
Kwa namna vyuma vimekaza Mimi mwenyew nikipata mtu wa hivi ambae ameamua kuuweka uwezo wake wa kufikiri pembeni nitampiga pesa mpka achakae.

Utapeli hauwezi kuisha maana wajinga hawaishi.
 
Lazima apigwe tu.... Atauza Sana mashamba....na kuzidi kukopa mshahara wake ili afanikishe azma ya kumfilisi baba watoto wake ..kichawi...

Shauli lake... Maamuzi ya leo Matokeo ya kesho....
 
I told you mtu yoyote aliopo huko kabla hajafanya chochote lazima kwanza ajikinge sasa endeleeni na huyo babu yako wa katavi siku jamaa akirufisha mapigo mtakimbiana mfe we zani mchezo .....

Nilikuambia kwa Nini tu usimuamini mwenyezi Mungu alie muepusha mwanao na mabalaa yote na kimfanya aendelee kudunda tu mtaani. Wewe umeendelea kukomalia vibuyu na huyo babu yako .

Acha ujinga maana kinacho fuata ni maumivu makali Sana.
 
Witch from Katavi.... tengeneza movie..nshakupa title..

Alafu ulikutana nae Humu JF...?... Mtumie PM TU inatosha... Maana naona UNAHITAJI Sana muhisika ajue kuwa unamroga

Mtumie msg mi ntakutumia bundle

kumbe mpaka leo bado hajafanikiwa basi ajue mkubwa Mungu tu
 
Hahahahaaah hahahahahah hahahaahaha hahahaahhaa Msomi na mfanyakazi wa serikali katk ubora wake lol
Namimi nancoclude ...kwa utafiti nilio ufanya...wafanyakazi wa serekalini Ni wachawi, walozi na hurogana Sana.....

Sample...yangu Ni mteta bandiko
 
Back
Top Bottom