Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Siongei Tena ukwel unajulikana
Vita Ni Vita mura..mtani Wangu Billie hii Vita mnaiweza Wakurya ..au mwenzetu ungebeba Zuna(sime).... Na silaha za jadi kwenda kupambana....


Kipepeo wa chuma1 mi nadhani ..ungenitumia nauli niwe shuhuda wa huu Ulozi alafu ntakuja kuleta feedback huku JF...
Tuwakomeshe wote watelekezao Watoto...

Namtarogwa sanaaaaaaaa..... Mijusi kafiri nyie
 
Wewe ndio umenielewa,na kwa sababu hiyo na heshima ya mwanangu,lazima jamaa tumrudishe chini,piga ua garagaza anarudi moja,wazee wangu wamechungulia wameona na wameamua hivo
Naomba usisahau Kuleta mrejesho
 
Angekuwa ni mwanaume mwenzao ungeona jinsi wanavyomsapoti, pambav sana hawa viumbe. Dada afanye analotaka ili moyo wake uridhike..kama ni kumroga amroge tu kwa kweli maana hakuna namna nyingine.
Kwa kweli yaani mimi naona kama anachelewa! Ninavyosubiri mrejesho hapa utasema nasubiri mshahara!
 
Huyu Mungu wetu ndo maana huwaga hajibugi hata maombi yetu......

Kwanini usimuombee huyo mwanaume Amjali mtoto wake....unamuombea afilisiki ili mke wake akome Mama yake akome...na watoto wasio wako wakome...

Dada maliza kazi afu ulete mrejesho
Hahahahah mrejesho muhimu dawa inachemka vyungu vinachemshwa hahahwh
 
Vita Ni Vita mura..mtani Wangu Billie hii Vita mnaiweza Wakurya ..au mwenzetu ungebeba Zuna(sime).... Na silaha za jadi kwenda kupambana....


Kipepeo wa chuma1 mi nadhani ..ungenitumia nauli niwe shuhuda wa huu Ulozi alafu ntakuja kuleta feedback huku JF...
Tuwakomeshe wote watelekezao Watoto...

Namtarogwa sanaaaaaaaa..... Mijusi kafiri nyie
Vita ni Vita,no retreat no surrunder 🔌aluta continua
 
Habari za mida wana JamiiForums. Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli.

Kifupi ni nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita.

Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa miaka mitatu, ndani ya mwaka serikali ikatangaza ajira na nikaajiriwa baada ya kuapply na interview zote nikashika nambari one.

Nikaanza kazi serikalini, nikaperform Kama yote, nikapandisha mapato ya halmashauri fulani Hadi kutikia kupewa cheti cha mkusanyaji mapato mahiri wa halmashauri.

Nikakutana na kijana mmoja,nilimtangulia chuo mwaka mmoja,akiwa kwenye mishe za yeye naye kutoka, nikamsapoti sana, tukawa wapenzi,nikashika ujauzito, Hadi kuzaa, ingawaje yeye alisita kwakuwa alikuwa Hana mbele Wala nyuma, nikamwambia relax, tuzae tutajua ya mbeleni.

Kweli nikazaa salama kwa kudra za Mungu, nanikahudumia mambo mengi kwakuwa hakuwa na kitu enzi hizo.Tukaenda nikiwa namsapot project zake, alipoanza kutoboa akaanza kubadilika, ukimwuliza anakuwa mkali. Nikavumilia Sana then nikaona nimwache tu,kisicho riziki hakiliki.

Nikamwambia tubaki wazazi, mengine fanya yako nami nifanye yangu, akakubali, so nikawa busy najitafutia na mwanangu. Tukakubaliana fifty fifty kwenye mahitaji ya mtoto, lakini akawa hatekelezi, ikafika kipindi nikaacha kumtafuta manake ukimtafuta anageuza story. Anyways ntarudi manake huyu mtu atakachofanywa ukoo wake mzima utajikusanya.
Umesema uko smart upstairs lakini umeandika kama mtu wa kawaida sana asiyeweza kuelezea mambo

Hiyo sio historia ya maisha yako. Badili heading,labda useme ... JINSI NILIVYOSALITIWA NA MWANAUME ALIYEUTEKA MOYO WANGU

Achana na mambo ya kulogana, endelea na maisha yako. Kisicho riziki hakiliki

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Umesema uko smart upstairs lakini umeandika kama mtu wa kawaida sana asiyeweza kuelezea mambo

Hiyo sio historia ya maisha yako. Badili heading,labda useme ... JINSI NILIVYOSALITIWA NA MWANAUME ALIYEUTEKA MOYO WANGU

Achana na mambo ya kulogana, endelea na maisha yako. Kisicho riziki hakiliki

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Unaongea vitu gani budda?tulia shughuli inaendelea,kaa Kama maji ndani ya mtungi,na wapi nimekwambia Niko smart?hiyo unajua wewe msomi,mie ni mkulima wa mahindi huku katavi, kwahiyo usinifokee.
 
Hapa mnapoteza muda tu..huyu dada ana agenda zake binafsi alizopanga kuzifanikisha kupitia hii story aliyoileta, hamna cha ziada.
Hahahah kweli eeeh?agenda ndio mdudu gani?unadhani kila mtu anafanya biashara ya ulozi?ulozi wa kweli hauuzwi,so mlio ni lazima.
 
Funza dume bado uko na Mimi?geez huu muda wa kumpa mkeo cha asubuhi,Ila umekomaa nami,hahahah mie Niko mbali na mpenzi wangu that's y unaniona jf asubuhi hii,ndomana ndoa za sikuhizi full tafran kwasababu hampeani vitu🏃ngoja niendeleze story unanipotezea wakati tu.kama umetumwa waambie walokutuma huyu mtu ametoka katavi.
 
Ngoja niweke habari vizuri;huyu budda tulizungumza kitambo hata mtoto hajafikisha miaka miwil,akasuggest nifungue akaunti ya mtoto kwaajili ya matumizi ya mtoto na hata ada.Nikafungua akaunti crdb kwa jina la mtoto,nikawa naweka hela na makubaliano ilikuwa naye awe anaweka ili mtoto asipungukiwe kwenye mahitaji yake.Toka nimefungua hiyo akaunti huu ni mwaka wa 4 hakuwahi kuweka hata senti 5,kila ukimkumbusha anasema ataweka Ila hakuwahi kuweka.

Ikawa sio ishu kwakuwa nami nilikuwa kazini na kipato napata nikawa namuhudumia mwanangu ile kizungu.Nikapata changamoto kazini nikadrop kiasi Fulani,nikaona sio kesi Basi ni muda wa budda naye kuchangia,akagoma kutoa ushirikiano.Napo nikaona nimpotezee nifanye yangu.

Sijakaa vizuri limekaa,ng'ombe hili na limke lake yanahangaika kuniulia mtoto,geez hata Kama ni wewe ndugu msomaji huwezi kaa kimya.Inauma mtu akuulie mtoto uliyembeba miezi 9 na kumgharamia mwenyewe,bila yeye kufanya lolote.Waishi maisha yao,wampotezee mwanangu,Ila kutaka kumdhuru siwezi kaa kimya Kama mama.
 
Back
Top Bottom