Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,822
Mkuuu...hata mtu akipanga kunidhuru Mimi nikajua itaniuma sanaaaaaaaa...Sawa ukipata mtoto halafu mtu akapanga kumdhuru utaelewa,inaumaaa.
But Sasa kwenda mbio kwa waganga Mungu asinipe mtihani wakunifisha Huku...
Haya Sio maisha kabisa....maisha yakiwaki Sana hayo



