Historia ya maisha yangu

Halafu usisikilize upande mmoja tu. Ukute huyu dada ndio msumbufu mpk watu wamezila kusomesha mtoto kutokana na kero za mama yake.
Hayo mambo yanataka usikilize pande mbili
Unazira vipi kusomesha mtoto wako ndugu? Hata kama dada ana matatizo wajibika kwa mtoto wako. Usimpe hela bali kalipe Ada mwenyewe.
 
Kilinge kitaongea Kama Nina wivu naye ama Sina,toka nikiwa vizuri alikuwa hatoi ushirikiano kumlea huyu mtoto,nikaona fresh nikakomaa mwenyewe,kilichoniuma kwenda kumloga mwanangu,na kutaka kumkil kabisa,halafu nikae kimya tu,wakati natoka katavi?hapana
 
Unazira vipi kusomesha mtoto wako ndugu? Hata kama dada ana matatizo wajibika kwa mtoto wako. Usimpe hela bali kalipe Ada mwenyewe.
Kuna wadada wana vurugu aisee acha tu unaweza hata kumtelekeza mtoto ili uwe na amani haswa unapokuwa umeoa
 
I love you
 
No nilikaa kimya Kama mjinga,wamefanya yao,wanataka hadi kumuua mwanangu,kwahiyo nitulie tu? hapana,nilipomkuta wakati namnunulia boksa namrudisha[emoji120]
Mrudishe chini zaidi kidoooogo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…