Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

Kila mtu ashinde mechi zake............ Mtihani wa mwisho kuna mtu atajua hajui. Ndio itafahamika likizo ni nzuri au sio nzuri.
 
Baba bodaboda anarudi saa 6 usiku mama anauza duka kurudi saa 3 usiku.
Mtoto wao ni pisi kali yenye jungu la hatari na chuchu saa 6.
Anarudi mtaani kukitembeza kwa uhuru ama lah aende akasaidie kuuza duka la mama yake, vijana wa hovyo washinde hapo wakimtongoza kutwa nzima.
Wamnunulie smart, bize na kuchart likizo nzima.

Ndivyo watoto wanavyolelewa mitaani, labda wale day am going ndo kuna utofauti ila wale wenzangu na mimi mtoto hulelewa hivyo.

Walimu wapewe pongezi wanawalelea vizuri watoto wenu.
 
Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa.

Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima.

So akili kichwani, yaani mzazi unakaa na kusubiri future ya mwanao ambaye yupo shule ya kata iliandaliwe na waziri!

Mwanao akipata zero hata upolisi hawamchukui na huko mtaani ndio kizazi cha singeli hiki, pathetic.

Nimeandika maana nipo uswahilini De es Salaam, nimeona watoto wa kike na kiume wakikaa mtaani wanaishia kupoteza mwelekeo huku mtaani, hakuna mzazi makini wakumpa malezi bora mwanae.
Wazazi mnakwepa majukumu, mmewaachia walimu wawalelee watoto wenu. Iweje mtoto akae shuleni mwaka mzima bwana. Likizo ziheshimiwe watoto warudi nyumbani wawasaidie wazazi kazi na wajifunze taratibu nyingine za maisha ikiwemo kazi. Hizo Shule zenyewe watotni kusoma tuu, kufagia hawawezi, kuosha kikombe hawawezi. Kuna maisha nje ya kusoma, warudi nyumbani haraka, wazazi tutawasi amia wajisomee.
 
Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa.

Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima.

So akili kichwani, yaani mzazi unakaa na kusubiri future ya mwanao ambaye yupo shule ya kata iliandaliwe na waziri!

Mwanao akipata zero hata upolisi hawamchukui na huko mtaani ndio kizazi cha singeli hiki, pathetic.

Nimeandika maana nipo uswahilini De es Salaam, nimeona watoto wa kike na kiume wakikaa mtaani wanaishia kupoteza mwelekeo huku mtaani, hakuna mzazi makini wakumpa malezi bora mwanae.
Nani kakuambia kwamba mtoto akibaki shule kipindi cha likizo ndo atafaulu?
Hizi shule nyingi zina ubabaishaji. Mtoto wanae muda wote, wanashindwaje kumpa elimu ya kutosha. Mwezi mmoja watakibadilisha nn cha ajabu.
 
Kuwasaidia nini Wazazi?
Mashule yenye utaratibu wa kubaki na wanafunzi wa madarasa ya mitihani waendelee na huo utaratibu
Kuna wazazi wakisha wabwaga watoto shule, hamutaki kuwaona tena!! Imekuwa kama muna alergy, hakuna bond kabisa! Mmeshindwa kulea basi ngoja mlelewe
 
Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa.

Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima.

So akili kichwani, yaani mzazi unakaa na kusubiri future ya mwanao ambaye yupo shule ya kata iliandaliwe na waziri!

Mwanao akipata zero hata upolisi hawamchukui na huko mtaani ndio kizazi cha singeli hiki, pathetic.

Nimeandika maana nipo uswahilini De es Salaam, nimeona watoto wa kike na kiume wakikaa mtaani wanaishia kupoteza mwelekeo huku mtaani, hakuna mzazi makini wakumpa malezi bora mwanae.
I don't get your point here!!

Yaani naamanisha kuwa, logic yako ni nini hasa hapa?

Je, una maana kuwa kusiwe na likizo za watoto/wanafunzi kupumzika, bali mwaka mzima wawe darasani wanafundishwaga na kusomaga tu?

Je, kwa akili na mtazamo wako unadhani kwa kufanya hivi ndo wataelimika (sio kufaulu tu), au siyo?

Vipi walimu? Nao wasipumzike? Wafundishe mwaka mzima?

Aaah aaah, you are very wrong my friend..!!

Au hujui kuwa mitaala iko designed in such away kwamba Ina specific time ya kukamilishwa?

Nikuambie tu kuwa, tatizo la elimu yetu hapa Tanzania halipo kwa watoto wawe na likizo ama wasiwe na likizo ya kupumzika...!!

Tatizo la elimu yetu lipo kwenye kwenye maeneo haya;

1. Uduni wa mazingira ya kujifunza na kujifunzia katika shule za umma karibu zote..

2. Uhaba wa vifaa kama vitabu, science labs ambazo ziko equiped na vifaa katika shule nyingi za umma..

3. Ubora wa walimu wetu, wengi wao wako chini ya kiwango ( most of them are incompetent)..?

4. Kwa upande wa walimu tena, ni kuwa, hata hao wachache waliopo ambao ni competent, wanakosa kitu kinachoitwa "motivation" Kwa sababu ya mazingira mabaya ya kazi, maslahi duni na changamoto zingine..

5. Changamoto ya lugha ya kufundishia na kujifunzia nalo ni tatizo kubwa...

6. Udogo wa budget ktk sekta ya elimu ni tatizo kuwa zaidi..

##Haya baadhi na mengine mengi ndiyo matatizo ya elimu ya nchi hii.

Hiki unachokijadili hapa ni matokeo tu ya matatizo ya msingi..

If we want to solve these problems permanently, let's go to the roots of the problem..!!

Moja ya solution ni kuhakikisha kuwa tuna invest heavily kwenye sekta ya elimu. Kutofanya hivi tutakuwa tunapiga kelele za "ufaulu" tu badala ya kutaka watoto wetu wapate "elimu bora" au "quality education!!"

Thank you.
 
Baba bodaboda anarudi saa 6 usiku mama anauza duka kurudi saa 3 usiku.
Mtoto wao ni pisi kali yenye jungu la hatari na chuchu saa 6.
Anarudi mtaani kukitembeza kwa uhuru ama lah aende akasaidie kuuza duka la mama yake, vijana wa hovyo washinde hapo wakimtongoza kutwa nzima.
Wamnunulie smart, bize na kuchart likizo nzima.

Ndivyo watoto wanavyolelewa mitaani, labda wale day am going ndo kuna utofauti ila wale wenzangu na mimi mtoto hulelewa hivyo.

Walimu wapewe pongezi wanawalelea vizuri watoto wenu.
Kwahiyo watoto wabaki mashuleni!? Kusiwe na likizo..kwa vile wazazi mko busy sio!??
 
I don't get your point here!!

Yaani naamanisha logic yako ni nini hapa?

Je, una maanisha kusiwe na likizo za watoto/wanafunzi kupumzika, mwaka mzima wawe darasani tu wanasomaga?

Vipi walimu? Nao wasipumzike? Wafundishe mwaka mzima?

Au hujui kuwa mitaala iko designed in such away kwamba Ina specific time ya kukamilishwa?

Nikuambie tu kuwa, tatizo la elimu yetu hapa Tanzania halipo Kwa watoto wawe na likizo ama la.

Tatizo la elimu yetu lipo kwenye kwenye maeneo haya;

1. Uduni wa mazingira ya kujifunza na kujifunzia katika shule za umma karibu zote..

2. Uhaba wa vifaa kama vitabu, science labs ambazo ziko equiped na vifaa katika shule nyingi za umma..

3. Ubora wa walimu wetu, wengi wao wako chini ya kiwango ( most of them are incompetent)..?

4. Kwa upande wa walimu tena, ni kuwa, hata hao wachache waliopo ambao ni competent, wanakosa kitu kinachoitwa "motivation" Kwa sababu ya mazingira mabaya ya kazi, maslahi duni na changamoto zingine..

5. Changamoto ya lugha ya kufundishia na kujifunzia nalo ni tatizo kubwa...

6. Udogo wa budget ktk sekta ya elimu ni tatizo kuwa zaidi..

##Haya baadhi na mengine mengi ndiyo matatizo ya elimu ya nchi hii.

Hiki unachokijadili hapa ni matokeo tu ya matatizo ya msingi..

If we want to solve these problems permanently, let's go to the roots of the problem..!!

Thank you.
Chukua Lite hapo ulipo...natuma hela..
👍👍💯💯
 
una hoja usikilizwe
 
Kwahiyo watoto wabaki mashuleni!? Kusiwe na likizo..kwa vile wazazi mko busy sio!??
Ndio hiyo ni moja ya sababu.
Toto likirudi shule kichwa hakina kitu, mpaka akae sawa ni mwezi ushapita.
Wengine wanarudi na mimba kipindi muhimu kilichobaki cha mitihani.

Hata hivyo hupewa wiki za mwisho kupumzika hawakai shule mwezi mzima.
 
Kwahiyo solution ya hayo ni kubaki shule...
Kama wote mnaotaka watoto wabaki shule kuepuka haya matatizo ni wazazi wa hovyoo everr..

Halafu huku shuleni tukibaki na hao watoto wenu mtatulipa!??
 
Nakumbusha pia
▫Tukianza na

1. Masomo ya Sayansi
✅PCB, na PCM 👉wakiume tutachukua kuazia daraja la I point ya 7 -15
👉 wakike daraja la I point ya 7-17
✅CBG na PGM
👉Wakiume tutachukua mpaka daraja la II point ya 21
👉Wakike mpaka daraja III ya 22

2. Masomo ya Biashara

✅EGM na EC
👉Wakiume mpaka daraja II ya 21
👉Wakike mpaka daraja III ya 22

✅ HGE na CBA
👉 wakiume mpaka daraja II ya 21
👉wakike mpaka daraja III ya 22

3. Masomo ya sanaa

✅HGL,HGK, na HKL
👉wakiume mpaka daraja II ya 21
👉Wakike mpaka daraja III ya 23

4. Masomo ya Lugha

✅KLF
👉 wakiume mpaka daraja II ya 21
👉wakike mpaka daraja III ya 23

📃VYUO /COLLEGE'S

1. Vyuo vya sayansi (Afya na Ufundi)
👉Wakiume mpaka daraja la III point ya 23
👉Wakike mpaka daraja IIIya 25
✅NB: Mwanafunzi wa sayansi watachukuliwa endapo wana D nne za masomo ya sayansi ikiwemo na Hesabu

2. Vyuo vya kati na biashara
👉Wakiume daraja la III point ya 25
👉Wakike mpaka daraja la IV point ya 26.

🔐NB:
1. Hatutachukua ↪wakiume yeyote mwenye daraja la III kujinga na kidato cha tano
↪Wakike yeyote mwenye daraja la III point ya 24-- kujiunga na kidati cha tano

2. Hatutachukua ↪wakiume yeyote mwenye daraja la IV kujiunga na vyuo vyovyote vya selikari
 
Msiwashitue acheni watoto wapimzike Kama wanavyotaka uzuri watoto watoa matamko watoto wao wako international schools ambako darasani wanakaa to 25 syllabus zinaisha mapema Leo hii mnawafananisha Hawa watoto wenu na sant kayumba ambao mkondo mmoja unabeba watoto 150 na wote wanafundishwa ndani ya dk 80 au 40 ili waelewe akili kichwani mwako
 
Utakua mchoyo wa kufikiri,nani kasema kua masomo ya ziada ni kukaririshwa? Kijijini kwetu shule zetu mbili atuna walimu wa Kemia,Fizikia na Biolojia .Sasa walimu ambao wanaweza kusaidia wanatoka mjini na ili wawasaidie vijana wetu ni lazma wabaki shule ili wawaze kufundishwa muda huo...sasa sijui wewe wa Feza na St.Thhomas kama ilo unalielewa.
Wanafanyaje kama sio wana solve past paper? Kwa hio una Uvumbuzi wanafanya?
 
Wewe ulikua kiliza ndiyo maana ulikua unakalilishwa past papers kwa wingi. Mwisho kwanza ujui elimu ya sasa hipo eti kukalilishwa.....kuna kitu ambacho mtoto anaulizwa kutoka nje ya mtaala au TIE?
We mjinga ulio faulu ume lega ugunduzi gani? Sana sana Umeajiriwa hapo ulipo ndio mwisho wa akili zako, Hao watotonwako zaidi ya akili ya kupata A wana kingine special?
 
Wewe ni kilaza kweli kweli,kama ujui kua kuna types of learners pamoja na mapungufu kwenye walimu yaani awatoshi. Uwezi kukwepa kuwepo utaratibu wa kusoma masomo ya ziada ili kuweza kujenga competence kwa wanafunzi. Kwanza jua kua wanao kwenda kufanya mitihani ya 2025 ndiyo wa kwanza kufanya mitihani ya kidato cha nne yenye competence based curriculum kwahiyo wanahitaji wafanye maandalizi ili tuwe na Taifa bora la vijana wenye confidence ,content and competence.
Competense gani? Ya kupata A? Kwani unazani wanacho target ni kitu gani kama sio A?
 
Wakati nasoma Ifunda miaka hiyo nikifunga shule narudi Nyumbani mwezi mzima bila hata kusoma. Nawasaidia Wazazi kazi za Shamba na kugema Ulanzi. Nilipata Devision One hata tution sikujua maana yake. Shule gani ya kusoma siku 365????
Mkuu humu wamejaaa wapuuzi hawatakuelewa,
 
Back
Top Bottom