Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Duh,
Mambo ya hivyo ndo hufanya watu kuepuka kupeana mautamu

Ashasema hana pesa ya hospital..
anaweza kusaidika pia walau hata kumuona daktari tu na kuchukua mawaidha yake ya kitabibu na akajitibie home taratibu,

asifiche hiyo kitu japo ni fedheha pamoja na unyonge wa kiuchumi anaopitia,asichoke kuexpose hiyo hata kwa wataalamu kwenye famasia na hapo anaweza kusaidika kirahisi zaidi na pesa akaja kulipa baadae🐒
 
Huwa tunawaandaa kabisa una mpa taarifa siku mbili kabla.
No chips na siku yenyewe
Unampiga misosi mixer matunda. Bia zake za kumtoa aibu asikae kushangaa mapingili pingili.
Ki Hennessy cha kati cha kumvuruga ubongo.
Huku mishangazi unanyambilikaaaa!!!!! Aiiiiiiii.
Unatoka mwepesi kusubiri mwezi ujao
Kuna sehemu nilikuwa siambiwi nikasikia, sijui nilipewa limbwana na Lishangazi

Yaani hadi nilikonda kutokana na kutumika, maana haikuwa rahisi kubeba paja la kilo 50 masaa 2 ukipanda

Mishangazi ilaaniwe kuua nguvu kazi za vijana 😂
Nyie na mwaka 47!!!!! Tukisanua msamba kidogoo tu!!!!! Utasikia we mama yilna hebu tulia huko ndio Nini hicho
😂ni mwendo wa mishenari hadi tunazeeka, ole wako uongeze ufundi wa kukata viuno katikati ya safari, utaambiwa huo mtindo umefundishwa na nani huko nje
 
Hio ni K A S W E N D E.

Wahi Hospital, otherwise hiko kichwa cha uume soon kitaanza kupukutika na kitaisha chote.

Narudia tena! Wahi hospital ukapate tiba, acha excuse za kijinga za kukosa hela.

Madogo siku hizi mnatomb* tu, wala hamjali matumizi ya Condom na usalama wa Afya zenu.
Hii ndiyo tunaita makavu live! Hakuna kupepesa macho wala kumung'unya maneno.

Halafu usikute kijana alikula tunda kimasihara ili aje asimulie kwenye ule uzi wao pendwa! Ndiyo anakutana uso kwa uso na hili balaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom