Kitu gani huwa kinakuchukiz sana?

Kitu gani huwa kinakuchukiz sana?

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
12,241
Reaction score
20,543
Wakuu, nijitambulishe!

Kwanza awali ya yote naitwa AXIOM APEX VERBOSE
hii ndio ID pekee ninayoitumia JF sina ID nyingine ukiondoa hio.

Tuache hayo. Turudi kwenye mada.

Ninaomba kufahamu wewe hapo km wewe ni kitu gani ambacho hua kinakuudhi au kinakuchukiza sana ukifanyiwa au ukiambiwa?

Tuanze na mimi.

Mimi kwa mfano; tuseme labda imetokea let say nimechukuana na mwanadada fulani mwenye Makebo ya kwenda na lipa namba na kutuma ya kutolea tukaenda kufanya mambo yetu yale ya kikubwa kukamatia Makebo kwa nyuma then nikishamaliza yeye aanze kunisifia na maneno mengi mengine kwamba naweza sana au nachukua muda mrefu kumkojolea mpaka amekojoa mimi bado sijakojoa ananiambia maneno ya uongo uongo.

Sawa nimetumia muda mrefu kukaa kifuani kwako sasa si nimeshakojoa lakini unaanza vipi kunimwagia misifa mingine ya uongo uongo, hii kiukweli mimi hua inachukiza sana wakuu.

Nachukia sana sometimes natamani hata kumtia vibao vya usoni. Unanisifiaje na maneno ya uongo?

Mimi ni hicho tu wakuu, sasa sijaelewa kwa upande wako wewe ni kitu gani hua kinakuchukiza sana?

Andika hapa. Ndio hapa andika.
 
Unafaa kuwa afisa masoko

Enwei,wanaohitaji huduma wanakuja PM
 
Bro inchi@mbi sorry hiv katiba kwa English ni Constitution ndo najiandaa kuipigania kama ulivyo tutell be4
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom