Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Ninathibitisha kupokea kiasi cha 15,000 kutoka kwa Mkuu wangu Grahams
Nashukuru sana.

Lengo nipate 50,000 ili nipate matibabu kamili ( kumuona daktari, vipimo & dawa).
Atakayeguswa nashukuru.

Namba yangu ni

0687374530
Mtandao: Airtel Money
Jina: Juma Ramadhan

Ahsante 🙏🏾
 
Labda ajitolee Grahams awaokoe, zaidi ya hapo najua kikapu kitakua tupu 😂

Shirikisho likifeli dada zake tupo, akipona mhasibu wetu Seran atatusaidia kuhakiki kama pesa zimetumika kwenye tiba kweli 😂😂
Grahams kashasababisha kaka hana baya.
Hela za kina dada itabdi azivumilie maana zitaandmana na masimango na ufatiliaji wa hali ya juu kuhakikisha zinaend moja kwa moja kwenye matumizi.
 
Labda ajitolee Grahams awaokoe, zaidi ya hapo najua kikapu kitakua tupu 😂
Haba haba hujaza kibabab, najua wanaume wenzangu wataniunga mkono kumtumia chochote kitu ili jamaa apate matitabu, kitendo cha jamaa kutuma nude yake humu inaonesha amekwama hasa.

Kama tunanunuliana gambe, hatuwezi kushindwa kwenye hili
Shirikisho likifeli dada zake tupo, akipona mhasibu wetu Seran atatusaidia kuhakiki kama pesa zimetumika kwenye tiba kweli 😂😂
Lakini kwenye wajukuu zangu wote ndiyo umeona umtume Seran kweli

Mnajua kabisa babu yake nilivyo na presha ikitokea ameenda mbali 😁
 
Ninathibitisha kupokea kiasi cha 15,000 kutoka kwa Mkuu wangu Grahams
Nashukuru sana.

Lengo nipate 50,000 ili nipate matibabu kamili ( kumuona daktari, vipimo & dawa).
Atakayeguswa nashukuru.

Namba yangu ni

0687374530
Mtandao: Airtel Money
Jina: Juma Ramadhan

Ahsante 🙏🏾
Barikiwa sana Mkuu 🙏🙏

Natumai wengine pia watatuunga mkono
 
Attachments

  • 20260516_170924.jpg
    20260516_170924.jpg
    52.3 KB · Views: 6

Similar Discussions

Back
Top Bottom