Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Pole sana Mkuu

Pamoja na changamoto ya kifedha uliyonayo, jaribu kupambana uende kwaajili ya vipimo na matibabu

Uza hata smartphone unayotumia ili uende ukatibiwe

Ukifanya mchezo huo ugonjwa unaweza kutafuna kichwa chote cha uume ukabaki na kipisi
He! Babu inabakiaje kipisi? Aisee unanitisha mpaka nawaogopa mademu aise. Na gunaniliu gwangu gulivo kafupi!..

Bahati nzuri bado sijaanza kuchakata mbususu.
Mungu bariki kiboo changu.
 
He! Babu inabakiaje kipisi? Aisee unanitisha mpaka nawaogopa mademu aise. Na gunaniliu gwangu gulivo kafupi!..

Bahati nzuri bado sijaanza kuchakata mbususu.
Mungu bariki kiboo changu.
Kuna maradhi mengine (STDs) ukichelewa kujitibu, kifanyio kinalika hadi kubaki kipisi

Mwaka 47, Wazee wenzangu wengi tu walibaki na vipisi kwa kushambuliwa na hayo magonjwa 😜
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom