Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Dalili zinaonyesha hivyo
😂😂🙌
Kwa mishangazi ni mpaka ukidhi vigezo,, sisi tunachagua hatuchaguliwi
Mko vizuri, mishangazi ni watu wa kazi kazi

Mna ratiba yenu kwa mwezi mara moja, ila hiyo mara moja, kijana ukiwa huna stamina unaweza kukimbia pambano 🙌

Mambo ya mwaka 47 😜
 
pole sana gentleman,

miongoni mwa dalili muhimu sana ya kaswende kamili, ni kuota kipele kimoja tu au zaidi kisichouma kwenye kichwa cha mshedede wako.
kumbuka, ni kwenye kichwa cha mshedede.

lakini pia,
dalili muhimu kamili ya gono ni pamoja na kutoa usaha mzito wenye harufu mbaya kupitia njia ya mkojo.

Zaidi sana,
miongoni mwa dalili dalili kamili za U.T.I sugu ni pamoja na kujiskia kama moto hivi kwenye njia ya mkojo kabla au baada ya kumaliza haja ndogo.
Duh,
Mambo ya hivyo ndo hufanya watu kuepuka kupeana mautamu
hata hivyo,
kwa msaada wa kitabibu wa uhakika kwa changamoto yako, tafadhali, ondoa aibu, vaa ujasiri, wahi hospitalini ukamuone daktari.
Ashasema hana pesa ya hospital..
 
Hakikisha una rafiki Daktari, Askari, Mwanasheria na Chawa wa CCM itakusaidia sana.
Mambo madogo madogo yanaishia kwenye simu na unapata info zinazokutosha kufanya maamuz bila kujinadi hovyo hovyo.
 
😂😂🙌

Mko vizuri, mishangazi ni watu wa kazi kazi

Mna ratiba yenu kwa mwezi mara moja, ila hiyo mara moja, kijana ukiwa huna stamina unaweza kukimbia pambano 🙌
Huwa tunawaandaa kabisa una mpa taarifa siku mbili kabla.
No chips na siku yenyewe
Unampiga misosi mixer matunda. Bia zake za kumtoa aibu asikae kushangaa mapingili pingili.
Ki Hennessy cha kati cha kumvuruga ubongo.
Huku mishangazi unanyambilikaaaa!!!!! Aiiiiiiii.
Unatoka mwepesi kusubiri mwezi ujao
Mambo ya mwaka 47 😜
Nyie na mwaka 47!!!!! Tukisanua msamba kidogoo tu!!!!! Utasikia we mama yilna hebu tulia huko ndio Nini hicho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom