Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Umepata maambuz ya bacteria sanaojulikana kama SACBIES.

Kwa mwanaume, dalili za Scabies huwa ni:
Kuwashwa sana hasa usiku
Vipele vidogo au upele kwenye ngozi
Mistari midogo kwenye ngozi (sehemu wadudu wamepita)
Vidonda kutokana na kujikuna
Mara nyingi hujitokeza:
kati ya vidole
sehemu za siri
mapajani
tumboni
kwapani
mikononi
 
Pole sana Mkuu

Pamoja na changamoto ya kifedha uliyonayo, jaribu kupambana uende kwaajili ya vipimo na matibabu

Uza hata smartphone unayotumia ili uende ukatibiwe

Ukifanya mchezo huo ugonjwa unaweza kutafuna kichwa chote cha uume ukabaki na kipisi
 
Umepata maambuz ya bacteria sanaojulikana kama SACBIES.

Kwa mwanaume, dalili za Scabies huwa ni:
Kuwashwa sana hasa usiku
Vipele vidogo au upele kwenye ngozi
Mistari midogo kwenye ngozi (sehemu wadudu wamepita)
Vidonda kutokana na kujikuna
Mara nyingi hujitokeza:
kati ya vidole
sehemu za siri
mapajani
tumboni
kwapani
mikononi
Kaka are you serious?

Unavyoiona hiyo ni scabies? 😂😂

Dah' aisee kwahiyo hapo umepiga Diagnosis na unataka akapake BBE?

Embu kaangalie features za Syphilis pamoja na vidonda vyake halafu uje umsaidie mdau vizuri
 
Sikuota vipele isipokuwa tu sehemu ya kichwa cha dhakari ndio nilikuwa na vipele viwili tu ambavyo haviwashi wala kutoa uchafu.
Hio ni K A S W E N D E.

Wahi Hospital, otherwise hiko kichwa cha uume soon kitaanza kupukutika na kitaisha chote.

Narudia tena! Wahi hospital ukapate tiba, acha excuse za kijinga za kukosa hela.

Madogo siku hizi mnatomb* tu, wala hamjali matumizi ya Condom na usalama wa Afya zenu.
 
Wale wadogo zangu msiotaka kuhongwa,, mchangieni mwenzenu kashasema Hana hela ya hospital.
Wale wa kusema bora nisaidie mwanaume mwenzangu toeni ushirikiano maana na picha katuma.
Anzisha donation tumsaidie mjukuu, akikosa matitabu anaweza kujikuta anapata tatizo la ugumba/utasa Nchi ikakosa nguvu kazi miaka 50 ijayo 🙌
 
Wale wa kusema bora nisaidie mwanaume mwenzangu toeni ushirikiano maana na picha katuma.
Mkuu huyu hasaidiki, hakuna Bahati mbaya ikiwa alitomb* bila kutumia kinga.

Madogo wa siku hizi wanaanza mapenzi mapema hata Condom haziwatoshi (Condom kubwa kuliko size ya uume wao), na elimu ya kujali Afya hawazingatii kabisa.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom