Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Habari wana jamvi,

Takribani wiki mbili zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri; dhakari, maliwato na sehemu katikati ya mapaja na mbupu. Sikuota vipele isipokuwa tu sehemu ya kichwa cha dhakari ndio nilikuwa na vipele viwili tu ambavyo haviwashi wala kutoa uchafu. Nikajaribu kuongeza usafi sana na kupaka vitunguu swaumu vya kusaga kwenye hivyo vipele, kimoja kikapotea kimebaki hicho kwa picha. Kimeongezeka ukubwa kidogo hali inayonipa wasiwasi tatizo litakuwa ni gani.

Nilijua ni fungus, baada ya kupaka mafuta ya nazi maeneo ya maliwato sina tena muwasho ila kwenye mapaja na wakati mwingine dhakari inawasha.

Wataalamu shida itakuwa nini? Na tiba au suluhisho lake ni lipi?

Hospital sijaenda sina bima wala pesa za vipimo, life langu ni zaidi ya tia
Una dalili za kaswende nenda haraka hospitali ukapime vdrl
 
Google kitu inaitwa Herpes Simplex na dalili zake...halafu uka google kitu inaitwa Chancre na dalili zake! Utajua shida ni ipi kati ya hao mtu mbili
 
Kuonyesha hiyo thamani kijana aweke namba apate kitu.
Ukweli tuseme kijana anayo nzuri jamani!!!!
Hapo ndo inaumwa sipati picha ikiwa nzima likatuna hiyo miutamu yakeeee. Jamani kijana apate msàada asaidie wengine
Hahaha......kumbe ndiyo ulizoom out namna hiyo hadi kuona yote hayo 😂🙌
 
Pole sana Mkuu, gharama za kwenda kupima ni kiasi gani? Ukiweka mawasiliano tunaweza kuchangia chochote kitu

Na ukipona, hakikisha unatumia mpira (condom) ipasavyo kwa kila tendo, huenda hilo ni dogo tu Mungu ameamua kukuonesha, ukiendelea unaweza kupata maradhi makubwa zaidi ambayo yatakufanya unywe dawa kila siku ili uishi
Ahsante sana Mkuu kwa salamu za pole lakini pia kuwa na empathy na hali yangu.

Nimeogopa kuweka namba post ya kwanza wasijeniita tapeli.

Kwakuwa umeonesha moyo wa kutaka kunisaidia ninawiwa kushare namba ili nipate matibabu
Kwaharaka, kumuona daktari, vipimo na dawa ( bila BIMA) nahitaji niwe na 50k.

Namba yangu ni
0687374530
Mtandao: Airtel Money
Jina: Juma Ramadhan

Ahsante mkuu 🙏🏾
 
Seran
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom