Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Sio hivyo , si wewe na leo dada mnatu provok wapiga nyeto tumchangie, wakati anakatisha na Aisha magamba alikua anatuona kama magoigoi
Samahani sana. Hatuja wa provoke ni vile tu tunataka Yale maneno ya kusaidiana wanaume yawe kwa vitendo.

Akiponda tutamnanga aachane na kina siwatu ramadhani ahamie kwa kina Tricia Rapunzel.
 
Kiufupi Niko hapa Kuona matendo na si maneno. Leo tutajua kama huwa wanabwatuka tu au wanamaanisha.
Nimekaa pale, nasubiri kuwaona hao wa kumaanisha kwa matendo 😄

Look Around Ok GIF by Bounce.gif
 
Ahsante sana Mkuu kwa salamu za pole lakini pia kuwa na empathy na hali yangu.

Nimeogopa kuweka namba post ya kwanza wasijeniita tapeli.

Kwakuwa umeonesha moyo wa kutaka kunisaidia ninawiwa kushare namba ili nipate matibabu
Kwaharaka, kumuona daktari, vipimo na dawa ( bila BIMA) nahitaji niwe na 50k.

Namba yangu ni
0687374530
Mtandao: Airtel Money
Jina: Juma Ramadhan

Ahsante mkuu 🙏🏾
Sawa Mkuu, kuna Wakala nimemwagiza atakutumia kiasi

Najua wengine wakiguswa watakutumia pia, sisi waswahili tunasema "haba na haba hujaza kibaba"

Kila la heri 🙏🙏
 
Sawa Mkuu, kuna Wakala nimemwagiza atakutumia kiasi

Najua wengine wakiguswa watakutumia pia, sisi waswahili tunasema "haba na haba hujaza kibaba"

Kila la heri
Mkuu Grahams shukrani sana.
Wakati napost tatizo langu sikufikiri kuna mtu angeweza kunipa msaada wa matibabu. Wewe umeni prove wrong. Mungu akubariki sana 🙏🏾
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom