Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Mkuu watu hawaelewi kuna kipindi unapitia huna hata akiba wala kazi na hata pesa ya kula ni kuunga. Wanajua maisha ya kila mtanzania ni sawa. Hii sio kweli, ndio maana nimekuja hapa nipate ushauri na ufumbuzi.
Kanisani au msikitini ukiwa na shida serious ukimfuata padri au sheikh ukamweleza na kumwonyesha ,lazima wakusaidie ukapate matibabu
 
Mbona tunapeana michongo mingi tu humu, yawezekana huyu kailoweka pabovu , tena kwa kuhonga , sioni kataa ndoa na wapinga kuhonga Kama wanahusika hapa🤔

Ni umejaribu kujiamulia mambo tu mwenetu, cc Seran
Bwana wee acha kuwatetea ndugu zako wamchangie mwenzao kama wanavyoanzisha nyuzi za kupinga kuwasaidia wanawake bora wanaume wenzao!
 
pole sana gentleman,

miongoni mwa dalili muhimu sana ya kaswende kamili, ni kuota kipele kimoja tu au zaidi kisichouma kwenye kichwa cha mshedede wako.
kumbuka, ni kwenye kichwa cha mshedede.

lakini pia,
dalili muhimu kamili ya gono ni pamoja na kutoa usaha mzito wenye harufu mbaya kupitia njia ya mkojo.

Zaidi sana,
miongoni mwa dalili dalili kamili za U.T.I sugu ni pamoja na kujiskia kama moto hivi kwenye njia ya mkojo kabla au baada ya kumaliza haja ndogo.

hata hivyo,
kwa msaada wa kitabibu wa uhakika kwa changamoto yako, tafadhali, ondoa aibu, vaa ujasiri, wahi hospitalini ukamuone daktari.

Tatizo lako linatibika na kupona kabisa, usichelewe tafadhali.

Mungu Ibariki Tanzania
Ahsante mkuu kwa ushauri.

kwasasa changamoto ni hiyo gharama ya kumuona daktari, vipimo na dawa ni mtihani kwangu
 
Bwana wee acha kuwatetea ndugu zako wamchangie mwenzao kama wanavyoanzisha nyuzi za kupinga kuwasaidia wanawake bora wanaume wenzao!
Kuna tofauti ya kuhonga na kusaidia , wanaopaswa kuhongo ni wazee na sio vijana wanaoganga njaa , mwisho wa siku wanaanza lialia kijinga
 
Mkuu watu hawaelewi kuna kipindi unapitia huna hata akiba wala kazi na hata pesa ya kula ni kuunga. Wanajua maisha ya kila mtanzania ni sawa. Hii sio kweli, ndio maana nimekuja hapa nipate ushauri na ufumbuzi.
Pole sana Mkuu, gharama za kwenda kupima ni kiasi gani? Ukiweka mawasiliano tunaweza kuchangia chochote kitu

Na ukipona, hakikisha unatumia mpira (condom) ipasavyo kwa kila tendo, huenda hilo ni dogo tu Mungu ameamua kukuonesha, ukiendelea unaweza kupata maradhi makubwa zaidi ambayo yatakufanya unywe dawa kila siku ili uishi
 
Nimegundua kuna viungo unaweza kupoteza ukabaki na amani, lakini sio hicho kiungo

Ndiyo maana tunakithamini isivyo kawaida 😜
Kuonyesha hiyo thamani kijana aweke namba apate kitu.
Ukweli tuseme kijana anayo nzuri jamani!!!!
Hapo ndo inaumwa sipati picha ikiwa nzima likatuna hiyo miutamu yakeeee. Jamani kijana apate msàada asaidie wengine
 
Kaka are you serious?

Unavyoiona hiyo ni scabies? 😂😂

Dah' aisee kwahiyo hapo umepiga Diagnosis na unataka akapake BBE?

Embu kaangalie features za Syphilis pamoja na vidonda vyake halafu uje umsaidie mdau vizuri
I'm very serious kaka, nimeongea kutoka kwenye uzoefu, kama huaman akanunue daw za Scabies atumie alaf alete mrejesho apa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom