Hii ni kitu gani wakuu?

Hii ni kitu gani wakuu?

Wale wa kusema bora nisaidie mwanaume mwenzangu toeni ushirikiano maana na picha katuma.
Charaza kwenye mshono mayoo, mpaka uchanike 😂😂

Ita team kataa ndoa na team kataa kuhongwa kwa umoja wao wa muokoe kijana kabla hajabakiza kipisi
Kabisa wamsaidie mwenzao 😂 na wamshauri aache kuchovya chovya hovyo!

Tuone umoja wao unavyofanya kazi,, seran simama kama muhasibu mkuu!!!! Katibu muandika majina ya michango Niko hapa
Katibu msaidizi niko hapa, kuhakikisha hatumiss jina hata moja la mchangiaji
 
Charaza kwenye mshono mayoo, mpaka uchanike 😂😂

Kabisa wamsaidie mwenzao 😂 na wamshauri aache kuchovya chovya hovyo!

Katibu msaidizi niko hapa, kuhakikisha hatumiss jina hata moja la mchangiaji
Mwenye kiti wao nimeshawatajia huko bado kamati ya wachawi wa singo mama haijafika🤣
 
Kijana Hana pesa,, team zote mbili ziungane kusaidia jamii hela zao zisitumike kizembe kwa wanawake zisaidie kijana mwenzao.
Hapa tuthibitishe ule msemo"kuliko kuhonga mwanamke asiye na shukrani Bora nisaidie mwanaume mwenzangu
Mbona tunapeana michongo mingi tu humu, yawezekana huyu kailoweka pabovu , tena kwa kuhonga , sioni kataa ndoa na wapinga kuhonga Kama wanahusika hapa🤔

Ni umejaribu kujiamulia mambo tu mwenetu, cc Seran
 
Haina shida mzee mwenzangu. Nimekwambia slay queen Seran asimamie jambo
Na iwe hivyo, kijana anaweza kupoteza kiungo muhimu mno kwa sisi wanaume

Maana pamoja na sisi wengine kuzeeka, bado tumeendelea kuimarisha ulinzi kukilinda hicho kiungo kwa wivu mkubwa

Hata wakati ule wa sekeseke la kushikwa bega, nilihakikisha hakuna mtu ananikaribia na kujaribu kunisishika bega 😜
 
Mkuu huyu hasaidiki, hakuna Bahati mbaya ikiwa alitomb* bila kutumia kinga.

Madogo wa siku hizi wanaanza mapenzi mapema hata Condom haziwatoshi (Condom kubwa kuliko size ya uume wao), na elimu ya kujali Afya hawazingatii kabisa.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
Kwa hiyo unaukana huo msemo na dogo unamuepuka kabisa?
 
Magonjwa ya kujamiiana, ukipaka BBE inaondoka; jipe mapumziko ya kutokufanya tendo angalau miezi miwili.
bbe.jpg
 
Na iwe hivyo, kijana anaweza kupoteza kiungo muhimu mno kwa sisi wanaume

Maana pamoja na sisi wengine kuzeeka, bado tumeendelea kuimarisha ulinzi kukilinda hicho kiungo kwa wivu mkubwa

Hata wakati ule wa sekeseke la kushikwa bega, nilihakikisha hakuna mtu ananikaribia na kujaribu kunisishika bega 😜
Safi sana
 
Mtoa maada kasema uchumi mbovu hana Senti ya kwenda hospital watu wamekomalia nenda hospital 💔
Ila humu🙌
Mkuu watu hawaelewi kuna kipindi unapitia huna hata akiba wala kazi na hata pesa ya kula ni kuunga. Wanajua maisha ya kila mtanzania ni sawa. Hii sio kweli, ndio maana nimekuja hapa nipate ushauri na ufumbuzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom