Halotel wana 1gb kwa Sh 500 na 5gb kwa sh 1500
Ndio Zipo buddle za usiku Hallotell kuanzia saa 6 ucku mpaka 12 asubuhi , Kama alivyoeleza hapo juu ,unatakiwa upigwe ban kwa uongo
unatumia mtandao ganunatakiwa upigwe ban kwa uongo
jamaa sijui anashid ganNdio Zipo buddle za usiku Hallotell kuanzia saa 6 ucku mpaka 12 asubuhi , Kama alivyoeleza hapo juu ,
unatumia mtandao gan
Kuna bundles pia mtu alizileta za Ttcl ambazo ni nafuu, walete Fiber mitaani, 25,000 sidhani kama kuna Familia zitashindwa ku Afford ukizingatia Fiber mnaweza kushare familia zaidi ya moja.Naona kuna link kati ya kufunga site zetu zile, na kuondoa bundle za usiku. Mawazo yangu tuu.
Lakini, nimeanza kuona katika maeneo mengi (husasan ninapoishi) nyaya za TTCL wanaanza kuziunga na Fibre; hivyo naamini muda sio muda mitaa mingi ya Dar es Salaam kutakuwa na Fibre to home, na tutaachana na haya maswala ya bundles.
Mkuu mkonga ni backbone tu, wenyewe nao unahitaji makampuni yasambaze waya kwenye majumba kama kipindi kile tulivyokuwa na simu za mezani za waya.Internet ya cable kupitia mkonge wa taifa iko namna gani?
Zinaonekana nafuu hizo bei japo naamini wanaweza kuja na package za Fibre zinazolingana na zile za Zuku.Kuna bundles pia mtu alizileta za Ttcl ambazo ni nafuu, walete Fiber mitaani, 25,000 sidhani kama kuna Familia zitashindwa ku Afford ukizingatia Fiber mnaweza kushare familia zaidi ya moja.
Msaada: Package gani itanifaa katika biashara ya kuingiza movies/series (library)?
Habari za muda huu wadau, naombeni mawazo ni package gani kati ya hizi mnanishauri nichukue itanifaa kwenye biashara yangu hii mpya ya library ambayo inahitaji huduma ya Internet ili nidownload movies na series! Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile appwww.jamiiforums.com
Sasa hivi kkoo kuna muitikio mkubwa sana wa zuku, frame kibao watu wanaweka, wanachanga hela wanaweka speed kubwa na kushare internet.
Tatizo home internet hata dar tu bado haijasambaa kote.Dawa ni kusambaza home internet na kutoa elimu ya faida zake. Mobile data haijakusudiwa kudownload file kubwa kubwa. Hiyo ni kazi ya home wi-fi. Lakini sijui tumekwama wapi.
Hii konnect kuna mtu anatumia unaemjua? Bei ni rafiki sana kusema kweli, ila information za ping ni muhimu.Zinaonekana nafuu hizo bei japo naamini wanaweza kuja na package za Fibre zinazolingana na zile za Zuku.
Mwanzo nilikuwa napanga kuweka hawa jamaa: Konnect high-speed satellite Internet | Konnect Africa
Lakini kutokana na habari hii Tanzania: Broadband Connectivity to Reach All Tanzanians nikaona kabla kuingia gharama zote hizo, nisubiri kwanza miezi kadhaa kucheki mipango ya makampuni ya ndani itakuwaje. Huenda chagua nafuu lipo kwenye kona
Ping itakuwa sio nzuri since kwenye YouTube wanakwambia haipo suitable for Video conferences Au online gaming hiyo ndio hasara yake.Hii konnect kuna mtu anatumia unaemjua? Bei ni rafiki sana kusema kweli, ila information za ping ni muhimu.