Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
Unatuma pesa kwenda mtandao mwingine au benki halafu muamala unafeli, pesa uliyokua unatuma inarudishwa kwako, lakini tozo na makato kutoka mtandao wa simu hazirudishwi!

Kwanini pesa ya makato ya mitandao ya simu pamoja na tozo hazirudishwi? Kwanini ukatwe tozo na makato kutoka mtandao wa simu kwa huduma ambayo imefeli? Huu siyo wizi kwa wananchi?
 
Ni fursa kwako.
Anzisha huduma nzuri ambayo itakuwa bora zaidi utapata wateja wengi zaidi.
 
Back
Top Bottom