Msaada: Package gani itanifaa katika biashara ya kuingiza movies/series (library)?

Emmet

Member
Jan 18, 2019
82
167
Habari za muda huu wadau, naombeni mawazo ni package gani kati ya hizi mnanishauri nichukue itanifaa kwenye biashara yangu hii mpya ya library ambayo inahitaji huduma ya Internet ili nidownload movies na series!

20210928_112148.jpg

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
kwa kuanza kama huna movie nyingi waweza chukua hicho cha T-Offfice Standard ambapo mwezi wa kwanza udownload movie nyingi kwa muda mfupi. Mara baada ya mwezi wa kwanza waweza shift kwenda hicho cha T-Office Lite. Lakini kama tayari una movie nyingi pia si mbaya kuliung na hicho cha T-Office Lite.

NOTE: Nimechukulia office yako itakuwa na device mbili ambapo ni computer yako pamoja na simu moja.
 
T office lite speed ni ndogo sna mkuu, japokua ni wazo zuri pia. Movies ninazo nyingi sababu kubwa yakutaka Internet ni kudownload movies/series mpya ambazo zinatoka kila siku na movies moja moja ambazo mteja atahitaji na mm sina. Nilikua na wazo lakuchua Package ya T volume GB 150 speed ya 12mps au hicho cha office standard ila hicho cha office standard hiyo speed nahisa inawez ikawa ndogo movie moja nika download kwa mda mrefu.

sawa mkuu ishi nacho tuu hata hicho maana kuna wale wateja wanakuja wanahitaji movie na wewe kwa wakati huo huna inabidi uwahi kuwatoa dukani
 
Habari za muda huu wadau, naombeni mawazo ni package gani kati ya hizi mnanishauri nichukue itanifaa kwenye biashara yangu hii mpya ya library ambayo inahitaji huduma ya Internet ili nidownload movies na series!

View attachment 1955788

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
Hawa ni TTCL? Ni technology gani wanatumia? 4G, Fiber, Adsl?

Na 12/1mbps ndio 12mbps?
 
Ndio mkuu hao ni Ttcl na wanatumia coaxial japokua huduma ya fiber wana provide pia japokua ni gharama za mteja kufikishiwa huduma ila kwa coaxial ni gharama zao 12/1mbps nahis ndo wanamaanisha 12mbps

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
Hio 12/1mbps kwangu bado ina mashaka, unaweza nunua ukaambiwa speed ni 1mbps mpaka 12mbps. Ikawa gb kadhaa kwa speed ya 12mbps ukimaliza inashuka hadi 1mbps.

Kama baada ya GB kadhaa speed inashuka hadi 1mbps basi hio office lite ya 25,000 ni bundle kali sana.

Kama speed ni hizo 4, 8 na 12mbps basi cha 8mbps kina value zaidi.

Vya nyumbani havina Issue.

Na average movie ya mb 700 ya 720p itachukua.
-dakika 24 kwa Office lite
-dakika 12 kwa office standard
-dakika 8 kwa office super.
 
Asante kwa mchanganuo mzuri mkuu ngoja nianze nacha office standard alafu nitakuja na mrejesho

Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
 
Amka usiku kati ya saa saba na saa kumi na mbili asubuhi kwa 2000 unaweza kupata hata gb 10 halotel au voda.

Tafiti zaidi
 
Habari kaka,Naomba kujua hiyo huduma naweza ipata maeneo yetu uswahilini huku Tabata na kwengineko

Back
Top Bottom