Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 12,230
- 25,550
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kwanza ningependa ujue mitandao yote ya simu Tanzania ina vifurushi vinavyofanana na kingine kila mtandao na spidi yake.
Sasa kumezuka baadhi ya mitandao ya Haloteli, Airtel, Tigo kuwa na vufurushi vya data ambavyo ni data kausha damu, yaani ukinunua bando likibaki mb 40 hizo hazitumiki, kitu ambacho ni wizi kabisa.
Kule Vodacom hata ukibakiwa na mb 12 unatumia hadi inabaki moja ila hao wengine ni wazee wa umetumia asilimia 75 hivi ili TCRA na Nape Nnauye hawalioni au ndo tuendelee kuibiwa tu nawapongeza sana Vodacom Tanzania?