Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Mwali mimi ashadii kaniambia nipo kwenye vinywaji ...chumvi ya nini tena?Jamani Ivuga hajashika chumvi... bado mpya kwenye kikatarasi chake cha nyeupe na bluu, hii hapa. lol
Mwali mimi ashadii kaniambia nipo kwenye vinywaji ...chumvi ya nini tena?Jamani Ivuga hajashika chumvi... bado mpya kwenye kikatarasi chake cha nyeupe na bluu, hii hapa. lol
Anti naomba mimi na Ivuga twende kununua chumvi... chumvi imeisha humu ndani...:A S embarassed:
Vinywaji vyooote vimeandaliwa hadi mbege ipo.... Yaani vinywaji vilinunuliwa from order....lol.. Wee unatumia kipi, kama hakipo nimpigie akanunue....
Mwali umeanza lini kwenda dukani na Ivuga? Kloro umemwona?
Mmeona tu AshaDii kapotea mkaanza story, kazi ya protection mmesahau. Nitawasema!Ndugu yangu Mwali unajua eee.....,ni kwamba.....,yan......,!!!tunapiga tu story na mpnz kloro ili asisinzie aendelee kukulinda atiii!
We najua unapenda bia, na mi sinywi bia...mwali unakunywa nini? na mimi nitakunywa hiko hiko
We najua unapenda bia, na mi sinywi bia...
Mmeona tu AshaDii kapotea mkaanza story, kazi ya protection mmesahau. Nitawasema!
Juice ya ukwaju.wewe unakunywa nini sasa?
Haya basi. Ngoja mimi na wewe tupange hivi: we mbane deskmate asinioni ninacho fanya huku, si unajua atampelekea Uncle Kaizer? lolNdugu yangu,ww fanya kupotezea bac mm na ww ndugu yangu!c unajua big sisy alivomkali!
Hiki kizunguzungu nashindwa kujua kama ndo nimevimbiwa pilau, nimelewa fanta au ndo marazi yanatafuta njia ya kutokea.
Hebu mjukuu aliyejirani a-come this way niangalie kama ntaweza ku do the needful...
Atakayenionea MwanajamiiOne naomba amwambie kuwa leo nina aleji na madripu.....
Baada ya kusema hayo napenda kuwashukuru kuja katika sherehe hii na kuanzia sasa naanza kupokea zawadi (ambaye hakuja na zawadi anaruhusiwa kutoa pledge)
Nje ya mada: Smile ahsante kwa dhawadi taaaaamu!
Smile kakupa dhawadi gani? Babu, angalia nisikuaribie siku yako..Hiki kizunguzungu nashindwa kujua kama ndo nimevimbiwa pilau, nimelewa fanta au ndo marazi yanatafuta njia ya kutokea.
Hebu mjukuu aliyejirani a-come this way niangalie kama ntaweza ku do the needful...
Atakayenionea MwanajamiiOne naomba amwambie kuwa leo nina aleji na madripu.....
Baada ya kusema hayo napenda kuwashukuru kuja katika sherehe hii na kuanzia sasa naanza kupokea zawadi (ambaye hakuja na zawadi anaruhusiwa kutoa pledge)
Nje ya mada: Smile ahsante kwa dhawadi taaaaamu!
Niko hapa next to you Babu... unataka nini?Hiki kizunguzungu nashindwa kujua kama ndo nimevimbiwa pilau, nimelewa fanta au ndo marazi yanatafuta njia ya kutokea.
Hebu mjukuu aliyejirani a-come this way niangalie kama ntaweza ku do the needful...
Atakayenionea MwanajamiiOne naomba amwambie kuwa leo nina aleji na madripu.....
Baada ya kusema hayo napenda kuwashukuru kuja katika sherehe hii na kuanzia sasa naanza kupokea zawadi (ambaye hakuja na zawadi anaruhusiwa kutoa pledge)
Nje ya mada: Smile ahsante kwa dhawadi taaaaamu!
lahaula! mambo hazarani. acha nikae seat ya mbele:A S kiss:...Hiyo ndo zawadi yako...
Naona umeshawasili tayari! Mbaya zaidi umekuja mikono mitupu!!lahaula! mambo hazarani. acha nikae seat ya mbele
Haya basi. Ngoja mimi na wewe tupange hivi: we mbane deskmate asinioni ninacho fanya huku, si unajua atampelekea Uncle Kaizer? lol
Hiyo inapokewa namna hii::hug:😛oa:A S kiss:...Hiyo ndo zawadi yako...
Niko nje kwa zamana. Kuna mdada humu JF akikuweka kinyumba basi umekwisha. Nitapotea tena soon. Dah!Naona umeshawasili tayari! Mbaya zaidi umekuja mikono mitupu!!