<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

loh huyu ana hata mwenzi jamani just imagine na mahari keshatoa hapa anajikusanya tunaenda shoping ya harusi dubai
mimi mchumba hata mwezi huwezi nikuta nae mbona?

hahahaha..... Rejao habari hizi kapata lakini? maana babu kuna pesa alikula pale you know....
 
Orati big sisy,hapa nishaandaa viwalo nataka unichagulie,kuna dira la kijaen na yepo yepo nyekundu na kipedo cha njando na top ya zambarau chin kuna viatu vya mwisho saa sita vyekundu!nichagulie nivae ipi hapo,ukizingatia nitakaa haitebo!

Unajua babu yako kasema atae vaa dira anaishia getini..... Hujamsoma hapo? lol
 
Anti naomba mimi na Ivuga twende kununua chumvi... chumvi imeisha humu ndani...:A S embarassed:
mmmh mwali usione kichaka shosti?wewe na ivuga toka lini? vile umeona nimemwambia tucheze blues?
 
loh huyu ana hata mwenzi jamani just imagine na mahari keshatoa hapa anajikusanya tunaenda shoping ya harusi dubai
mimi mchumba hata mwezi huwezi nikuta nae mbona?

Hatimae umetokea mpnz,vp ulignganisha au theory iko aplaid?karibu ww km ushajikoki vizuri ingia shuhulin!mchumba anaemuongelea babu ni Rejao huyo mkrya wako hamjui!
 
MJ1 unatafuta case dear.... Toka lini ikawa sherehe yetu? na hali maamuzi kibao umeendesha wewe.... Dah!

Haya baaas hukuniambia kama nguo zile nimekuchagulia zimekutoa vipi, maana sikuoni tuko wengi hapa....lol
Hapana auntie naona mumeo ametaja wajukuu wote na kazi zao. Isipokuwa mimi na kwa kuwa sifiti kwenye ugeni rasmi au mwalikwa basi nitasubiri tu ya mwakani!

Au nikae getini niwe nafungulia wageni mlango?

Nimevaa skirt yangu ya Klimplini ya kijani na blouse ya mikono mirefu chilimeni nyekundu. Chini nina chachacha za njano.
 
Hatimae umetokea mpnz,vp ulignganisha au theory iko aplaid?karibu ww km ushajikoki vizuri ingia shuhulin!mchumba anaemuongelea babu ni Rejao huyo mkrya wako hamjui!
acha tu shosti nilikuambia mwaka huu nisiposutwa sijui.
 
Unajua babu yako kasema atae vaa dira anaishia getini..... Hujamsoma hapo? lol

Nilijua mkwara tu,ok napiga pedo ya njano,top zambarau miguun kitu cha mwisho saa sita chekundu,hapo je sisy itafaa?!
 
Klorokwin pitia home uje ujaribu za Sweetie.... BTW are you protecting my Mwali as promised? lol
Dah!
Nimeajiriwa serikalini, kitambi ni identity...... sasa kaizer kile kifaduro si kilimpunguza uzito?

Mwali is well protected and enjoying the protection........ haumuoni ameongezeka mashavu?
 
Hapana auntie naona mumeo ametaja wajukuu wote na kazi zao. Isipokuwa mimi na kwa kuwa sifiti kwenye ugeni rasmi au mwalikwa basi nitasubiri tu ya mwakani!

Au nikae getini niwe nafungulia wageni mlango?

Nimevaa skirt yangu ya Klimplini ya kijani na blouse ya mikono mirefu chilimeni nyekundu. Chini nina chachacha za njano.

Hapana.... Kuna post kule mwanzoni kabisa Sweetie kaeleza kua wewe hupangiwi popote pale.... Wewe ni mwamuzi wa mwisho for ndio Kiranja cha wajukuu.... Utakaeje getini?

Ati umevaaa nini? Nguo nilizokupa umezila dear? Dah! Usinininunulie kesi nyingine...
 
Back
Top Bottom