<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Shemeji!? Ni aje? Mbu wangu kaingiaje hapa!? The most darling, MAN in this place? Plz .....leave my HEART alone shem!

Kabla sijaacha ukibaraka wa kukutaftia wateja wa hiyo slowly growing career!
Yaani shem unaenda kwenye party la fellow tablet na chachacha? Mbu kafkuzwa kazi nini? lol
hapo red, nitacheka kidogo kidogo ili kuepusha mzuka wa pumu
 
jamani kwaherini namuwai mkurya wangu msiponiona hadi saa ya kupakua chakula mreport police maana hatabiriki huyu yupo na panga full time.mjue mapanga shaaaaaaaaaa yamenikuta
 
Mbu hahusiki katika hili kabisa.

Hahhhh chachacha inarudi kwenye trend shem 2012. So ninakwenda na wakati, au hujaona color blocking hiyo?
 
Dah!
Nimeajiriwa serikalini, kitambi ni identity...... sasa kaizer kile kifaduro si kilimpunguza uzito?

Mwali is well protected and enjoying the protection........ haumuoni ameongezeka mashavu?

Suruali alizokua akivaa kabla ya kuumwa kifaduro bado zipo.....lol....

I can see the high spirit in Mwali.... Nimeuliza sababu alienda kununua chumvi na Ivuga.... Where were you?lol
 
breaking news
daaah.jpg
MZAZI kweli una akili kumvalisha mtoto Condom miguuni kama soksi??? sasa haka kamalaila kakimila Miaka 16 kakianza kuwa ka-MALAYA utamfanya nini? nawakati condom ulianza kumvalisha tokea kina 3yrs
 
jamani kwaherini namuwai mkurya wangu msiponiona hadi saa ya kupakua chakula mreport police maana hatabiriki huyu yupo na panga full time.mjue mapanga shaaaaaaaaaa yamenikuta

Huyo Mkurya umelete home awe assessed.... Ana GX Mia na Tembo card master card? lol
 
:A S 114: kweli kabisa Anti mi sijafanya chochote, nimesema tu!
Chumvi hamna humu ndani, na mimi nimepewa kazi ya kupika... sasa nifanyeje?

Kisheria Mwali haruhusiwi kutoka wak Sababu yeyote ile

Sweetie hebu do ze niidful, mwali naona atashika mkongojo wa babu leo....lol
 
Suruali alizokua akivaa kabla ya kuumwa kifaduro bado zipo.....lol....

I can see the high spirit in Mwali.... Nimeuliza sababu alienda kununua chumvi na Ivuga.... Where were you?lol
hehehe iskusumbue iyo, nimemweka sekyuriti tag sehem flani, akihema kwa sauti tu tag linafyetuka linalia kama ambalesi la zimbabwe. Ivuga hatiani
 
:A S 114: kweli kabisa Anti mi sijafanya chochote, nimesema tu!
Chumvi hamna humu ndani, na mimi nimepewa kazi ya kupika... sasa nifanyeje?

Mwali wangu unaniangusha.... Chumvi haitakiwi kamwe kukosa jikoni.... How can you miss salt jikoni? Vipi si nilikufundisha hilo somo la kutunza chumvi? lol:A S embarassed:
 
breaking news
daaah.jpg
MZAZI kweli una akili kumvalisha mtoto Condom miguuni kama soksi??? sasa haka kamalaila kakimila Miaka 16 kakianza kuwa ka-MALAYA utamfanya nini? nawakati condom ulianza kumvalisha tokea kina 3yrs

Khaaa!! Alafu kitoto kizuri kweli jamani... I wish I could hold her....
 
jamani kwaherini namuwai mkurya wangu msiponiona hadi saa ya kupakua chakula mreport police maana hatabiriki huyu yupo na panga full time.mjue mapanga shaaaaaaaaaa yamenikuta

Ucjali,akipandisha mori tu nibip nitoe taarifa polic!
 
Back
Top Bottom