<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,078

:A S 465:"Darling :A S 465: shem :A S 465: ODM":A S 465:

Najua mwaka kwako umeanza vibaya... Na I know ilifika a time ukaona kama
Mungu kakutupa vile....
Uzuri ni kwamba wewe Mwenyewe umekuja realise kua sio kweli...
God is still with you ila tu ni majaribu ambayo kila Mwanadamu hupitia.
Ukiwa kama a man of responsibilities, a father and a husband it is really really challenging i
f life takes toil on you. But sababu wewe ni MWANAUME BANA (Source: Asprin) kwa nguvu
za Mwenyezi Mungu umeweza himili hayo matatizo ya siku zote, na bado wasonga...

Today is your birthday na labda waweza feel worse sababu you are still on bed...
I am hoping ile thread ya
"ODM: Ready, Set... and Gooo" is really really applying....
We need you jamvini na we have Missed you a lot! Kuna wajukuu kibao wakusubiri kwa hamu
kutambulishwa, hopefully you make it soon to full recovery!

Asprin today make the most of it... hata kama bado upo kitandani na watumia
torch ya mama Matesha hapo kuja hapa JF, make it a fun day, ongea ya
akina Matesha walau mcheze hata games
(for I know ukiwa mzima ni mara chache hua wapata nafasi kama hizi
adimu za kuongea na watoto);
na huwezi jua at the end of the day labda hata utapata nguvu ya
kwenda mlimani na Mama Matesha! lol

:A S-rose::A S-rose::A S-rose:....HAPPY BIRTHDAY ODM with LOVE.....:A S-rose::A S-rose::A S-rose:

Pamoja Saana
AshaDii

P.S

Tokana na hali yako tumeshauriana wanafamilia sherehe itafanyika rumuni kwako!
Wifi King' na Sweetlady watakuja msaidia Mama Matesha kuweka
chumba katika hali presentable... Of coz usihofu kuhusu kinywaji Sweetie atawakilisha.
Nasikia saizi waruhusiwa tu Shark, appletiser na Red bull...lol

@Mwanajamii Moja!!

Shosti ndio nini kunisababishia napigiwa simu ya Mihasira na ODM? Eti kisa nimekuudhi mjukuu wake Mtakatifu na Mtiifu kwa kuto kuku-acknowledge kwa kazi kubwa
umefanya ya kushikilia ma Drip wakati anaumwa...
(Sijawahi muona/msikia ODM this MAD! Kumbe mkali eeeh? Dah!)
Enways.... MJ1 Mjukuu Mtiiifu wa Babu, Mjukuu Original wa Babu, Mjukuu wa wajukuu wa Babu;AshaDii anaomba MSAMAHA Kwa kuto kutaja.... Naomba wapitie na Shem RR, (na Fidel - hope atanitetea), Karibuni kwa Breakfast kabla ya kuenda huko.... Mimi na Sweetie (Roulette atakua M/Kiti) waiting hapa tutatue hiyo case. Alafu MJ1 Niombee Msamaha kwa Babu basi! Khaa!

Ngoja tu nilog off mpaka hii case iishe!
 
Happy Birthday Babu....!

God gave a gift to the world when you were born—
a person who loves, who cares,
who sees a person’s need and fills it,
who encourages and lifts people up,
who spends energy on others
rather than himself,
someone who touches each life he enters,
and makes a difference in the world,
because ripples of kindness flow outward
as each person you have touched, touches others.
Your birthday deserves to be a national holiday,
because you are a special treasure
for all that you’ve done.
May the love you have shown to others
return to you, multiplied.
I wish you the happiest of birthdays,
and many, many more,
so that others have time to appreciate you
as much as I do.

Love you....Mjukuu mtiifu,Michelle!
 
Michelle; ahsante kwa kuniamsha.... Am humbled (source: ADI)

ADI; Ahsante kwa huu waraka na wishes.... nimeuprint asubuhi matesha atanisomea wakati napiga kinanda.

YES It Is My Birthday.

Ngoja niandae manywaji. Dozi itanisamehe wallah. Damn! Nazidi kulisogelea kaburi....dah!
 
Am humbled Babu (Source ADI).....!

Ni wajibu wangu ninaoupenda sana kukuamsha Babu.....!!

Ngoja sasa nikanunue vitu vya sherehe,baki hapa na ADI kwanza hakuwepo nyumbani muda mrefu!
 
Michelle hivi wajua wewe na Happuch mko responsible kwa mapish? na mimi ngoja nitoke nikamalizie maandalizi.....

Hivi dada ADI ni kwanini mimi tu ndo hupangiwa jikoni na upishi kila sherehe jamani? Kwanini msinipe kazi ya kumuhudumia Babu,bibi apumzike??
 
Happy birthday Aspirin, may you live to see many, many more.
With love, Russian Roulette.
5707-chocolate-aspirin_275x275.jpg
 
Happy birthday Odm....dah...Mwenyezi Mungu akupe nini tena zaidi ya afya njema na tabasamu lenye bashasha wallah....
 
Hivi dada ADI ni kwanini mimi tu ndo hupangiwa jikoni na upishi kila sherehe jamani? Kwanini msinipe kazi ya kumuhudumia Babu,bibi apumzike??

hahahah.... Michelle wee ni mmoja wa wapishi mahiri hasa mkiwa na Happuch, labda ngoja nimuombe First Lady kama atakubali atoke kamati ya mapambo na Belinda kama atakubali kubandua zile kucha zake alizo agiza Italy...lol

Leo zamu ya Golden mpoleee kumpokea bibi nasikia ati! lol
 
Am humbled Babu (Source ADI).....!

Ni wajibu wangu ninaoupenda sana kukuamsha Babu.....!!

Ngoja sasa nikanunue vitu vya sherehe,baki hapa na ADI kwanza hakuwepo nyumbani muda mrefu!

If ODM is humbled and ADI is humbled there is bound to be havoc...:A S 39:
 
Dah, Michelle kaniwahi hakyanani...
Ngoja lakini na mimi nijitahidi kuipata attention ya babu:
Happy birthday to youuuuu
Happy birthday to youuuuu
Happy birthday dear Aspirin,
Happy birthday to youuuuu
:clap2:
AshaDii mi naomba nikae na babu tu, nimkeep company hadi atakapo amua kutoka kitandani. lol
 
Happy birthday Odm....dah...Mwenyezi Mungu akupe nini tena zaidi ya afya njema na tabasamu lenye bashasha wallah....
Sante bidada. Hujatangaza zawadi ujue. Ishu ya tabasamu hilo hata usijali... Kuna wakati kwenye msiba flani nililia sana, ajabu watu wakanambia mbona unatabasamu msibani? Sasa jiulize nikiachia tabasamu lenyewe inakuwaje? Mama matesha ana bahati sana wallah!
 
happy birthday mtu mzima.
Utajua unazidi kuzeeka pale gharama za kununua mishumaa zinapokuwa kubwa kuliko gharama za kutengeneza keki.
OTIS
 
Dah, Michelle kaniwaki hakyanani...
Ngoja lakini na mimi nijitahidi kuipata attention ya babu:
Happy birthday to youuuuu
Happy birthday to youuuuu
Happy birthday dear Aspirin,
Happy birthday to youuuuu
:clap2:
AshaDii mi naomba nikae na babu tu, nimkeep company hadi atakapo amua kutoka kitandani. lol

Naona wajukuu mna hamu na babu... Kuwe na shift kidogo... Michelle saizi zamu yake si umeona alitaka kulia hapo? Wewe saizi hakikisha vile vyombo spesheli kabisa vile vitatumika kama havijapitiwa na vumbi....lol
 
Mwali hujachelewa... Come this way..... ADI chondechonde festiledi asiingie jikoni, bibie anadokoa mpaka maji ya ugali huyo!
 
Sante bidada. Hujatangaza zawadi ujue. Ishu ya tabasamu hilo hata usijali... Kuna wakati kwenye msiba flani nililia sana, ajabu watu wakanambia mbona unatabasamu msibani? Sasa jiulize nikiachia tabasamu lenyewe inakuwaje? Mama matesha ana bahati sana wallah!

zawadi usijali.....ni ndafu iliyonona na mbaya zaidi naitengeneza mwenyewe....unataka ya kuchemsha au niichome kawaida......?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom