Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
just imagine pampas na condom jamani loh?Khaaa!! Alafu kitoto kizuri kweli jamani... I wish I could hold her....
just imagine pampas na condom jamani loh?Khaaa!! Alafu kitoto kizuri kweli jamani... I wish I could hold her....
Kisheria Mwali haruhusiwi kutoka wak Sababu yeyote ile
Sweetie hebu do ze niidful, mwali naona atashika mkongojo wa babu leo....lol
mori wake ni automaticUcjali,akipandisha mori tu nibip nitoe taarifa polic!
chwitiiiii haujambo? wakati wa makulati, jifanye unaumwa na jino huwez kula, njoo huku nyuma kwenye migomba nina salam zakoUcjali,akipandisha mori tu nibip nitoe taarifa polic!
Anti kuna chumvi na Chumvi (big C). Mi nazungumzia chumvi... lolestMwali wangu unaniangusha.... Chumvi haitakiwi kamwe kukosa jikoni.... How can you miss salt jikoni? Vipi si nilikufundisha hilo somo la kutunza chumvi? lol:A S embarassed:
HahaHhh ndo mana kafukuzwa kazi!Shem wanasayansi wamegundua ma chachacha yanapunguza libido . source: daktari flani kafkuzwa kazi india
chwitiiiii haujambo? wakati wa makulati, jifanye unaumwa na jino huwez kula, njoo huku nyuma kwenye migomba nina salam zako
Jaman ulikua wapi mpnz?mda wote hapa naangaza angaza hata ckuon,wala hakuna cha kuumwa jino wala nn,nipe dk sifuri nitakua hapo lol!
mori wake ni automatic
Ankal wenu anasarandia na panga la kuvunia mpunga ifakara. Roho tam honey
Jaman umesahau ulinambia ukotayari kufa kwa ajili yangu!
Jamani Ivuga hajashika chumvi... bado mpya kwenye kikatarasi chake cha nyeupe na bluu, hii hapa. lolTHANK God umekuja.... Yaaani nisingeshtuka mapema Ivuga angeshika chumvi ya Mwali alotomwa dukani.....lol.. Sweetie me doing that right away!
Protector mwenyewe oneni akili yake ilipo sasa hivi...Kweli, lakini dah kifo cha panga. Think! honey think
Kweli, lakini dah kifo cha panga. Think! honey think
Dah! acha nitafute kalkuleta yangu. nitakupatia jibu soonJaman mie nadhan umwachie akukate panga moja tu akiona dam ataogopa,afu ww unakua umeumia tu na haufi then mie natoroka tunaondoka wote tena tunahama kbs!hiyo technic unaionaje!
Protector mwenyewe oneni akili yake ilipo sasa hivi...
Dah! acha nitafute kalkuleta yangu. nitakupatia jibu soon
lol......... waswahili wanasema "ukilinda mbuzi jifanye kama banda hulioni"Protector mwenyewe oneni akili yake ilipo sasa hivi...