<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

<-> HAPPY BIRTHDAY ODM /Asprin<->

Mi napika? Anti naomba nikae karibu na babu... nimemiss sana kwa kweli... hata hivo nimesha kamua juice ya ukwaju na tangawizi, si inatosha?

Mwali my obidient niece leo ulikua mbali na mimi.... We have a new addition... Cousin wenu kwa jina la Golden Mpoleee....lol

Pole na kuandaa .... Hiyo juice yaosha kabisa...
 
680391_hres.jpg
 
Mkimaliza sherehe yenu nijulisheni nije kumalizia dozi za drip.

MJ1 unatafuta case dear.... Toka lini ikawa sherehe yetu? na hali maamuzi kibao umeendesha wewe.... Dah!

Haya baaas hukuniambia kama nguo zile nimekuchagulia zimekutoa vipi, maana sikuoni tuko wengi hapa....lol
 
Mwali my obidient niece leo ulikua mbali na mimi.... We have a new addition... Cousin wenu kwa jina la Golden Mpoleee....lol

Pole na kuandaa .... Hiyo juice yaosha kabisa...
loh sis hata ka pm kwenye huu mnuso? habari nazipata kwa jirani so fair kwa kweli hii dhambi sitokusamehe
 
loh sis hata ka pm kwenye huu mnuso? habari nazipata kwa jirani so fair kwa kweli hii dhambi sitokusamehe

Hasira unafikiri ninazo ni Kidogo?? Husny kaniarifu hujalala ndani..... Jieleze mengine yataendelea....
 
Anti mbona zawadi tulisema tunatoa usiku? Ona Smile kaleta bonge la zawadi mi naonaekana mzembe, as if sikufikiria kuleta zawadi...:A S embarassed:
ahahaaa we si mwali? hv mwali unatoka lini ndani? mimi niliwekwa siku 2 pakanishinda mwe.
 
Anti mbona zawadi tulisema tunatoa usiku? Ona Smile kaleta bonge la zawadi mi naonaekana mzembe, as if sikufikiria kuleta zawadi...:A S embarassed:

Hizo ni swagger za Smile kulala nje....lol.. Hana lolote lile, anajisafisha kess ambayo inamsubiri.... ankal wako ana hasira mbaya yaaani!
 
Hasira unafikiri ninazo ni Kidogo?? Husny kaniarifu hujalala ndani..... Jieleze mengine yataendelea....
yeye ndo hajalala ndani mimi mambo hayo nimeacha siku nyingi si unajua nimechumbiwa na mkurya siku hz? unataka nile mapanga?
 
yeye ndo hajalala ndani mimi mambo hayo nimeacha siku nyingi si unajua nimechumbiwa na mkurya siku hz? unataka nile mapanga?

Hilo nalo babu yako analalama.... Anadai uchumba gani wa miaka mitatu! Anataka MAHARI! lol
 
Hilo nalo babu yako analalama.... Anadai uchumba gani wa miaka mitatu! Anataka MAHARI! lol
loh huyu ana hata mwenzi jamani just imagine na mahari keshatoa hapa anajikusanya tunaenda shoping ya harusi dubai
mimi mchumba hata mwezi huwezi nikuta nae mbona?
 
MC atapewa majina mwisho wa shughuli.... Niko kunakili list hapa taratiiibu, hadi wategezi wataorodheshwa kua ni wategezi....lol

Orati big sisy,hapa nishaandaa viwalo nataka unichagulie,kuna dira la kijaen na yepo yepo nyekundu na kipedo cha njando na top ya zambarau chin kuna viatu vya mwisho saa sita vyekundu!nichagulie nivae ipi hapo,ukizingatia nitakaa haitebo!
 
Back
Top Bottom